Mgunda mpaka sasa anakuwa Kocha Mkuu wa timu mbili kwa wakati mmoja

Mgunda mpaka sasa anakuwa Kocha Mkuu wa timu mbili kwa wakati mmoja

Wale wa Fair competition kwenye hili mbona mko kimya ? Mgunda kaazimwa na Simba SC kutoka Coastal Union, haijulikani ni lini atarejea Coastal Union"

"Halafu kabla ya December klabu iliyomuazimisha Mgunda (Coastal) itakutana na klabu iliyomuazima Mgunda (Simba)...."

"... Hapa kuna Fair competition kweli ?"

"Angechukuliwa moja kwa isingeleta ukakasi. Kwa hiyo Coastal Union wakipoteza dhidi ya Simba hoja ya influence ya kocha Mgunda kwenye matokeo hayo mtaipinga vipi wazee wa fair competition ?!"

"Hakutakuwa na match fixing hapa ?"
.
Kocha Juma Mgunda anaiacha project ya Coastal Union aliyoirejesha baada ya kutetereka kwa kocha mgeni, leo akiwa Simba SC ina maana anaicha project ya Coastal Union wakati kaiandaa ?"

"Kuna Guarantee gani juu yake baada ya emergency clause kupita na Simba SC kupata kocha mgeni, watamfukuza ilihali Mgunda kawa kama Hitimana part time ?!"

"Project ya sasa ya Simba ni ipi ?"
Kocha ni muajiriwa kama walivyo wachezaji. Hakuna fair competition kwenye kazi ya ukocha. Leo hii Hitimana asingekuwa KMC maana alishawahi kuwa kocha wa Simba.
 
Kocha ni muajiriwa kama walivyo wachezaji. Hakuna fair competition kwenye kazi ya ukocha. Leo hii Hitimana asingekuwa KMC maana alishawahi kuwa kocha wa Simba.
Kinachoongelewa hapa si Mgunda kuajiriwa na Simba baada ya kuacha kazi Coast, kinachoongelewa na Mgunda kuwa kocha wa Simba huku bado ni kocha Coast Kwa maelezo kwamba Coast imewaazima Simba kama barua ya Barbara inavyoeleza.
 
Yaan haya majamaa yameamua kujivua nguo yenyewe. Yalilazimidha mjadala mechi ya Yanga vs azam haijapita 24 hrs limeibuka kubwa kuliko. 😁
 
Kazi inanza sasa
IMG-20220908-WA0081.jpg
 
Kweli kabisa kwa hiyo Coast na Simba wakikutana inakuwa si mechi bali kikao cha familia na kwenye familia zetu mkubwa amuheshimu mtoto.

Mkuu kwan ulisikia wapi kuwa atakaa mpaka hiyo siku wakikutana coast na simba. Hiyo ni dharura tu na inawezekana hata wiki mbili zisifike simba wakapata kocha na mgunda atarudi kwao coast kama kawaida.

Kwa mfano leo nabi akachukuliwa na simba na simba akaja kukutana na yanga kutuakuwa na shida hapo si kocha tu atakuwa amehama timu bas ni sawa na hapo tu mgunda mkataba wake na simba ukiisha atarud kwao coast
 
Kama rais mwenyewe ni mwanachama wa Coastal na Simba kwa wakati mmoja, unategemea nini? Itashindikana tu kubadilisha jina la Lazarus Kambole kwenye usajili, na kuliweka la Tuisila Kisinda!

Ila siyo kwa Juma Mgunda kufundisha timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja.
Kipindi tunawaazima wachezaji ulikuwa wapi
 
Mbona GSM alizamini ligi kuu na Yanga
 
Kama kanuni haziruhusu kocha asiena mkatapa kufundisha, nazishauri timu zilizofungwa au ku draw na Coastal Union zikate rufaa.
 
Kubwa labda msimbazi,mnashindwa kumsajili hata sopu mbona navyosikia mna pesa za m bet,pesa za sport pesa,pesa za moo bado tena pesa za huko njee mnashindwa kumsajili mchezaj wa million 400 pyuuuuuu kajambeni huko
Nenda kaandamane
 
Kinachoongelewa hapa si Mgunda kuajiriwa na Simba baada ya kuacha kazi Coast, kinachoongelewa na Mgunda kuwa kocha wa Simba huku bado ni kocha Coast Kwa maelezo kwamba Coast imewaazima Simba kama barua ya Barbara inavyoeleza.
Barua ipi imesema kuwa Coast imemuazimisha Mgunda? Barua imeshukuru kwa kukubali Mgunda aende Simba na sio kwa kumuazima. Achana na stori za vijiweni
 
Back
Top Bottom