Mgunda ni kocha wa Simba au Taifa Star? Majukumu ya Taifa Stars anafanya saa ngapi? TFF wanatuona wajinga

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Hii umeona wapi!? Kocha wa taifa. Ana kuwa pia kocha wa team ya league at the Same time.

TFF watoe majibu?

Pichani ni makocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Hemed Suleiman ‘Morocco’ na Juma Mgunda walipokuwa mazoezini leo katika dimba la KMC, Mwenge.

Makocha hao wanaiongoza Stars kuelekea mechi za Kufuzu AFCON2025 wakianzia Septemba 4, kwenye mtanange dhidi ya Ethiopia.

1725204831455.png
 
Mambo ya Ibenge na mfadhili wa Yanga ya kipindi cha kutembeza bakuli

Walikuwa makocha Wa vilabu na timu ya taifa ya DRC...!

Sio jambo geni sana, muhimu majukumu Yao wanatimiza ipasavyo
 
Sijui ila awezi fanya vyote
 
Acha nchi ivitumie Vipaji vyake na Hazina zake iliyojaaliwa na Mnyazi Mungu Wewe, Acha Wivu..!

Mgunda ni Moja ya Hazina za Taifa..!

Hili mbungi Kwa Mgunda,tunaTOBOA..!
Hakuna kocha hapo labda hamasa
 
Kuna shida gani? Kwani Taifa Stars iko muda wote?!
Kwa hio timu ya taifa anafanya kama part time job? kuweni serious na professional, ukocha sio uwanjani tu wakati ligi zinaendelea makocha wa timu za taifa wanasafiri kufatilia wachezaji ataowaita, ana andaa mipango ya muda mrefu kama tuna kocha wa wiki mbili hakuna sehemu tunaenda
 
Mambo ya Ibenge na mfadhili wa Yanga ya kipindi cha kutembeza bakuli

Walikuwa makocha Wa vilabu na timu ya taifa ya DRC...!

Sio jambo geni sana, muhimu majukumu Yao wanatimiza ipasavyo
Mkuu fanya Edit... Naamini ulikusudia kumtaja kocha Papaa Zahera Le Billionaire. Huyo uliyemtaja Papaa Ibenge hajawahi kuwa Kocha wa Utopwinyo.
Wakati wa Papaa Zahera ndio alikuwa akifanya ulichosema.
All in all mwacheni Mgunda aonyeshe utalaam wake punguzeni wivu
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kwa hio timu ya taifa anafanya kama part time job? kuweni serious na professional, ukocha sio uwanjani tu wakati ligi zinaendelea makocha wa timu za taifa wanasafiri kufatilia wachezaji ataowaita, ana andaa mipango ya muda mrefu kama tuna kocha wa wiki mbili hakuna sehemu tunaenda
Omba hiyo nafasi mkuu.Mgunda hawezi.🤔
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kwa hio timu ya taifa anafanya kama part time job? kuweni serious na professional, ukocha sio uwanjani tu wakati ligi zinaendelea makocha wa timu za taifa wanasafiri kufatilia wachezaji ataowaita, ana andaa mipango ya muda mrefu kama tuna kocha wa wiki mbili hakuna sehemu tunaenda
Kwanza yeye ni kocha Msaidizi..acha wivu
 
Back
Top Bottom