Mgunda ni kocha wa Simba au Taifa Star? Majukumu ya Taifa Stars anafanya saa ngapi? TFF wanatuona wajinga

Mgunda ni kocha wa Simba au Taifa Star? Majukumu ya Taifa Stars anafanya saa ngapi? TFF wanatuona wajinga

Kwa hio timu ya taifa anafanya kama part time job? kuweni serious na professional, ukocha sio uwanjani tu wakati ligi zinaendelea makocha wa timu za taifa wanasafiri kufatilia wachezaji ataowaita, ana andaa mipango ya muda mrefu kama tuna kocha wa wiki mbili hakuna sehemu tunaenda
Atakuwa anapiga deiwaka maana yupo kule Simba queen anacheki misambwanda
 
Back
Top Bottom