Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
aachane na simbaAcha nchi ivitumie Vipaji vyake na Hazina zake iliyojaaliwa na Mnyazi Mungu Wewe, Acha Wivu..!
Mgunda ni Moja ya Hazina za Taifa..!
Hili mbungi Kwa Mgunda,tunaTOBOA..!
Sijui ila awezi fanya vyoteMambo ya Ibenge na mfadhili wa Yanga ya kipindi cha kutembeza bakuli
Walikuwa makocha Wa vilabu na timu ya taifa ya DRC...!
Sio jambo geni sana, muhimu majukumu Yao wanatimiza ipasavyo
Kwann hawezi?Sijui ila awezi fanya vyote
Vipaji ni hivyo tu hakuna vingine?Acha nchi ivitumie Vipaji vyake na Hazina zake iliyojaaliwa na Mnyazi Mungu Wewe, Acha Wivu..!
Mgunda ni Moja ya Hazina za Taifa..!
Hili mbungi Kwa Mgunda,tunaTOBOA..!
Uto kila jambo ni kulalamika tu as if ni jambo la ajabu halijawahi kutokea dunianiHii umeona wapi!? Kocha wa taifa. Ana kuwa pia kocha wa team ya league at the Same time.
TFF watoe majibu??
View attachment 3084410
Kwani ameanza leo kuwa kocha wa Taaifa huku akiwa kocha wa Simba? Tatizo lako hasa nini?Sijui ila awezi fanya vyote
Kuna shida gani? Kwani Taifa Stars iko muda wote?!Hii umeona wapi!? Kocha wa taifa. Ana kuwa pia kocha wa team ya league at the Same time.
TFF watoe majibu??
View attachment 3084410
Hakuna kocha hapo labda hamasaAcha nchi ivitumie Vipaji vyake na Hazina zake iliyojaaliwa na Mnyazi Mungu Wewe, Acha Wivu..!
Mgunda ni Moja ya Hazina za Taifa..!
Hili mbungi Kwa Mgunda,tunaTOBOA..!
Kwa hio timu ya taifa anafanya kama part time job? kuweni serious na professional, ukocha sio uwanjani tu wakati ligi zinaendelea makocha wa timu za taifa wanasafiri kufatilia wachezaji ataowaita, ana andaa mipango ya muda mrefu kama tuna kocha wa wiki mbili hakuna sehemu tunaendaKuna shida gani? Kwani Taifa Stars iko muda wote?!
Mkuu fanya Edit... Naamini ulikusudia kumtaja kocha Papaa Zahera Le Billionaire. Huyo uliyemtaja Papaa Ibenge hajawahi kuwa Kocha wa Utopwinyo.Mambo ya Ibenge na mfadhili wa Yanga ya kipindi cha kutembeza bakuli
Walikuwa makocha Wa vilabu na timu ya taifa ya DRC...!
Sio jambo geni sana, muhimu majukumu Yao wanatimiza ipasavyo
Omba hiyo nafasi mkuu.Mgunda hawezi.🤔Kwa hio timu ya taifa anafanya kama part time job? kuweni serious na professional, ukocha sio uwanjani tu wakati ligi zinaendelea makocha wa timu za taifa wanasafiri kufatilia wachezaji ataowaita, ana andaa mipango ya muda mrefu kama tuna kocha wa wiki mbili hakuna sehemu tunaenda
Kwanza yeye ni kocha Msaidizi..acha wivuKwa hio timu ya taifa anafanya kama part time job? kuweni serious na professional, ukocha sio uwanjani tu wakati ligi zinaendelea makocha wa timu za taifa wanasafiri kufatilia wachezaji ataowaita, ana andaa mipango ya muda mrefu kama tuna kocha wa wiki mbili hakuna sehemu tunaenda
Kwamba kocha msaidizi hua hana kazi yupo tu?Kwanza yeye ni kocha Msaidizi..acha wivu