Mgunda ni muhamasishaji mzuri ila siyo kocha mzuri

Mgunda ni muhamasishaji mzuri ila siyo kocha mzuri

Sema wewe mtoa mada unaendeshwa na mihemko na unaonekana kabisa hujui mpira ina unaushabiki wa kijinga tu tangu lini Phiri akawa striker mzee? Phiri kiasilia ni winger ila alifanya vizuri kwa nafasi ya striker ndio maana simba walimuweka katika nafasi hio hivyo haikua mbaya kumuweka Kyombo ambae kiasilia ni Mshambuliaji na kakosa nafasi za wazi.
Mpira sio fani yako endelea kubeti tu kwa muhindi.
 
Nabi unbeaten mechi 44 na bado anataka kufungashiwa virago.

Kwenye ulimwengu wa soka la kibepari hakuna muda wa kusikilizia ni either u-perform au you go home.

Simba sio klabu ya kocha kuja kufanya majaribio.
Ila loa tuu kuna club walifukuza kocha baada ha siku moja....yaani waarabu waliangalia training session moja tuu wakaona hamna kitu hapa
 
Nimeiangalia Simba toka Kocha Mgunda anakabidhiwa Timu msimu huu nikagundua kuwa ni muhamasishaji mzuri ila sio kocha mzuri.

Tuwe wakweli, Simba inabebwa sana na uwezo binafsi wa wachezaji watatu kupata matokeo msimu huu, nao si wengine bali ni Chama,Phiri na Okra. Mgunda amekuwa akihusika na kupanga kikosi cha timu kishikaji huku akiendekeza kitu kinachoitwa "Uzawa" .Kwamba lazima wachezaji wazawa wacheze huku wale wenye viwango vya kimataifa tena waliosajiliwa kwa pesa nyingi kama kina Sakho,Banda,Okwa,Ouatara wakiendelea kulitumikia benchi wakati huo huo wachezaji ma-flopp kama kina Mkude, Nyoni na Bocco wakiendelea kupata namba .

Amekuwa akichezesha wachezaji nje ya position zao halisi. Hivi Phiri ni wa kumchezesha kama winga??

Mgunda anahusika katika kufanya Subs za ovyo kabisa, anaona timu imezidiwa kati anamuingiza Bocco, anamuacha Mkude amalize dakika 90, ili hali hata kukimbia hawezi, anamuanzisha Nyoni mchezaji ambae hastahili kabisa kuvaa uzi wa Simba.

Wito wangu kwa uongozi wa Simba ni kuwa tutafute kocha wa maana, mwenye ujuzi na experience ya kutosha tena atoke nje ya Tanzania pia aje na benchi lake zima la ufundi ili kuja kuepusha favouritism nayoendelea kwa jina la "Uzawa".
Hivi unamlaumuje Mgunda kwa kuwapanga wachezaji ambao wapo kikosini. Kama Mgunda hafai kwa hilo maana yake uongozi ndio una shida kwa kusajili wachezaji wasiostahili
 
Hivi unamlaumuje Mgunda kwa kuwapanga wachezaji ambao wapo kikosini. Kama Mgunda hafai kwa hilo maana yake uongozi ndio una shida kwa kusajili wachezaji wasiostahili
Kwenye ulimwengu wa soka la kibepari anayefukuzwa ni kocha. Wachezaji ni mfano wa mashine na kocha ni operator, akishindwa kuziendesha vizuri basi anafunguliwa milango aende kutafuta changamoto mpya.
 
Mgunda kocha hamna humo,,

Nikishazungumza mda mrefu sn,
Simba inabebwa na uwezo binafsi wa wachezaji kadhaa na sio uwezo wa kocha.

Tukija kishtuka ni too late.


Simba tafuteni kocha wa maana na sio kutuletea suruali kubwa uwanjani badala ya kocha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sass suruali inakosa gani
 
Mashabiki wengi wa Makolo ni wapumbavu sana hata yanga akipoteza wao ndo wa kwanza kuja kuanzisha majungu na fitina zile za kutafuta mbuzi wa kafara yaani hizi njemba ni takatka haswa.
 
Acha masihara mkuu hawatanii kabsa wako serious kabsa wanmuita gadiola mnene 🤣🤣🤣 kocha gani hana mbinu hawez kufananishwa na guadiola kabsa
mkuu mie najua ni utani, maana hana chochote cha maana,hajawahi kutwaa kombe ht la mapinduzi,hajawi kuingia top 3, nasikumbuki km amewahi kuwa ht kocha bora wa mwezi
 
Acha Bangi. Acha Mgunda akae hapo ...nilichoona pale ni kuwa Azam Wana uwezo mkubwa kuliko Simba. Hilo halina ubishi
Kwa sasa Azam wame-improve sana
 
Mitimu ya Afrika ovyooo sanaaa yani timu ikifungwa mechi moja tu mnataka kocha afukuzwe???
 
mkuu mie najua ni utani, maana hana chochote cha maana,hajawahi kutwaa kombe ht la mapinduzi,hajawi kuingia top 3, nasikumbuki km amewahi kuwa ht kocha bora wa mwezi
Dah basi huu utani na hilo jina inabdi waache mkuu maana ni utani wa ngumi huu
 
Ujinga sana kumu evaluate kocha kwa kufungwa mechi moja tuu. Kwani Guadiola hajawahi fungwa? Hebu tutoleeni upuuzi wenu msiendeshwe na mihemuko.
 
Back
Top Bottom