Mgunda ni muhamasishaji mzuri ila siyo kocha mzuri

Mpira sio fani yako endelea kubeti tu kwa muhindi.
 
Nabi unbeaten mechi 44 na bado anataka kufungashiwa virago.

Kwenye ulimwengu wa soka la kibepari hakuna muda wa kusikilizia ni either u-perform au you go home.

Simba sio klabu ya kocha kuja kufanya majaribio.
Ila loa tuu kuna club walifukuza kocha baada ha siku moja....yaani waarabu waliangalia training session moja tuu wakaona hamna kitu hapa
 
Hivi unamlaumuje Mgunda kwa kuwapanga wachezaji ambao wapo kikosini. Kama Mgunda hafai kwa hilo maana yake uongozi ndio una shida kwa kusajili wachezaji wasiostahili
 
Hivi unamlaumuje Mgunda kwa kuwapanga wachezaji ambao wapo kikosini. Kama Mgunda hafai kwa hilo maana yake uongozi ndio una shida kwa kusajili wachezaji wasiostahili
Kwenye ulimwengu wa soka la kibepari anayefukuzwa ni kocha. Wachezaji ni mfano wa mashine na kocha ni operator, akishindwa kuziendesha vizuri basi anafunguliwa milango aende kutafuta changamoto mpya.
 
Mgunda kocha hamna humo,,

Nikishazungumza mda mrefu sn,
Simba inabebwa na uwezo binafsi wa wachezaji kadhaa na sio uwezo wa kocha.

Tukija kishtuka ni too late.


Simba tafuteni kocha wa maana na sio kutuletea suruali kubwa uwanjani badala ya kocha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sass suruali inakosa gani
 
Mashabiki wengi wa Makolo ni wapumbavu sana hata yanga akipoteza wao ndo wa kwanza kuja kuanzisha majungu na fitina zile za kutafuta mbuzi wa kafara yaani hizi njemba ni takatka haswa.
 
Acha masihara mkuu hawatanii kabsa wako serious kabsa wanmuita gadiola mnene 🤣🤣🤣 kocha gani hana mbinu hawez kufananishwa na guadiola kabsa
mkuu mie najua ni utani, maana hana chochote cha maana,hajawahi kutwaa kombe ht la mapinduzi,hajawi kuingia top 3, nasikumbuki km amewahi kuwa ht kocha bora wa mwezi
 
Acha Bangi. Acha Mgunda akae hapo ...nilichoona pale ni kuwa Azam Wana uwezo mkubwa kuliko Simba. Hilo halina ubishi
Kwa sasa Azam wame-improve sana
 
Mitimu ya Afrika ovyooo sanaaa yani timu ikifungwa mechi moja tu mnataka kocha afukuzwe???
 
mkuu mie najua ni utani, maana hana chochote cha maana,hajawahi kutwaa kombe ht la mapinduzi,hajawi kuingia top 3, nasikumbuki km amewahi kuwa ht kocha bora wa mwezi
Dah basi huu utani na hilo jina inabdi waache mkuu maana ni utani wa ngumi huu
 
Ujinga sana kumu evaluate kocha kwa kufungwa mechi moja tuu. Kwani Guadiola hajawahi fungwa? Hebu tutoleeni upuuzi wenu msiendeshwe na mihemuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…