Mgunda, nini kimekusibu?

Alivokua coast anawakanda yanga na azam miaka yote ilikua anabebwa na wewe?
umeanza fatilia mpira juzi kijana nani kakwambia amewahi shida mbele ya mabingwa mara 28

alikuwa anachapika akijikongoja ni draw
 
Mashabiki mandazi wa Makolo hawanaga subira mamaae
 
Wataalam wa come back ni Yanga pekee.
 
Mo awape bil 20 zenu acheni ujinga na kuna tetesi kuwa mgunda hajalipwa fedha zale za mwezi huu na marupurupu ndo maana kaamua kuwakomoa leo gadiola wa mchongo🥵🥵🤣🤣🤣
Unazijua Bilioni 20 wewe?

Twente Bilioni unaweza kununua benki!

Your browser is not able to display this video.
 
Umeongea point alafu kwa uchungu Sana.
 
Aliwakanda Yanga mechi gani? Kaiongoza coastal mechi 6 vs Yanga na Kashinda 1 tu.

Sasa hizo takwimu kuwa alikua anawakanda Yanga kila siku ziko wapi?
na simba akawa anapigwa 8-0,7-0

NB: mwenye cv ya mgunda.km amewahi kutwa ubingwa.kufikisha timu nafasi za juu .au amewahi ht kuwa kocha bora wa mwezi?
 
na simba akawa anapigwa 8-0,7-0

NB: mwenye cv ya mgunda.km amewahi kutwa ubingwa.kufikisha timu nafasi za juu .au amewahi ht kuwa kocha bora wa mwezi?

Mwaka jana kaifikisha Coastal Union 2021/22 fainal ya azam federation cup
FT= Coastal Union 3 vs 3 Yanga.... kapoteza penalty 4 vs 5
 
Mwaka jana kaifikisha Coastal Union 2021/22 fainal ya azam federation cup
FT= Coastal Union 3 vs 3 Yanga.... kapoteza penalty 4 vs 5
ni hiki tu? Kn kingine?

Ndo maana mkampa timu ya taifa yule mrundi kisa alifika fainali ya FA akiwa na mbao
 
Kama imekuuma VAA uondoke.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mwaka jana kaifikisha Coastal Union 2021/22 fainal ya azam federation cup
FT= Coastal Union 3 vs 3 Yanga.... kapoteza penalty 4 vs 5

Asijaribu timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…