Mgunda, nini kimekusibu?

Mgunda, nini kimekusibu?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Sawa ni matokeo ya mpira lakini punguza hizi confidence zako. Itakugharimu pia, hutakiwi kufungwa.

Kikosi chako cha leo ni cha kisela, umetuwekea vibabu, please kipindi hiki sio cha majaribio, ni kipindi cha point tatu, so weka akili yako sawa sawa, eboh!

Achana na mambo ya uzawa, tunataka competence na hatutakiwi kufungwa NEVER, no excuse please.

Watu kama Nyoni, Boko etc etc hao wanaingia the moment timu inamatokeo ya kuridhisha, please you should be serious na usipende kujaribu mambo kwenye mambo ya msingi. Achana na hivi vitabia.

Last Financial Year MAUTOPOLO yalichukua kombe kwa ku create gaps kama hizi za mapema, mwisho wa siku ikawa ni hardly kuzifikia, please weka akili yako sawa sawa ni lazima lazima lazima SSC kuchukua kombe mwaka huu, hata kwa mtutu, Please no excuse, ni lazima.

Umefungwa kipindi cha kwanza, so you should learn to focus and identify areas of weakness ili uje na come- back ya maana, ni lazima ujifunze ku switch the football. Usiwe kocha wa hovyo. Unafungwaje dakika ya 30, unashindwa kuja na come back ? With all due respect Sir, what happened to you? SSC ni timu kubwa, na you have the resources, come back ni lazima iwe ya maana na ushindi ni lazima.

SSC has been established to win, winning is a MUST, sio hiyari au dua. Hatuhitaji dua wala hiyari kushinda, kushinda ni lazima, no excuse.

Weka watu ambao they can utilize chances effectively, sio kuweka Mtu anakosa yeye na goli.

We are watching you closely, na weka akili yako vyema, we are very much disappointed na haisameheki.
 
Sasa wewe, Nyoni, Bocco, Akpan, Dejan, Mzamiru, Kibu, Banda, Mkude, majeruhi kapombe, Gadiel, Kennedy, Kapama, Mwinuke, Quattara, hawa ni wachezaji wa kucheza Simba kweli, ulitaka aingie nan

Unasema nini ?
 
Mo awape bil 20 zenu acheni ujinga na kuna tetesi kuwa mgunda hajalipwa fedha zale za mwezi huu na marupurupu ndo maana kaamua kuwakomoa leo gadiola wa mchongo[emoji3062][emoji3062][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Atajikokomoa Mwenyewe. Tumempa Experience ya maisha yake , aache kufikiria hela . Aweke CV yake sawa or else atafeli
 
Mnazani kufungua goli kipindi cha pili ni kazi rahisi??
🤪🤪😆
 
Sasa wewe, Nyoni, Bocco, Akpan, Dejan, Mzamiru, Kibu, Banda, Mkude, majeruhi kapombe, Gadiel, Kennedy, Kapama, Mwinuke, Quattara, hawa ni wachezaji wa kucheza Simba kweli, ulitaka aingie nan

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Mkuu hilo ni kundi la wahuni tu hakuna wachezaji hapo.
 
Sawa ni matokeo ya mpira lakini punguza hizi confidence zako . Itakugharimu pia, hutakiwi kufungwa.

Kikosi chako cha leo ni cha kisela, umetuwekea vibabu, Please kipindi hiki sio cha majaribio, ni kipindi cha point tatu, so weka Akili yako sawa sawa, Eboh !

Achana na mambo ya uzawa, tunataka competence na hatutakiwi kufungwa NEVER, no excuse please.

Watu kama Nyoni, Boko etc etc hao wanaingia the moment timu inamatokeo ya kuridhisha, Please you should be serious na usipende kujaribu mambo kwenye mambo ya msingi. Achana na hivi vitabia.

Last Financial Year MAUTOPOLO yalichukua kombe kwa ku create gaps kama hizi za mapema, mwisho wa siku ikawa ni hardly kuzifikia, Please weka akili yako sawa sawa .... ni lazima lazima lazima SSC kuchukua kombe mwaka huu, hata kwa mtutu, Please no excuse, Ni lazima.

Umefungwa kipindi cha kwanza, so you should learn to focus and identify areas of weakness ili uje na come- back ya maana, ni lazima ujifunze ku switch the football. Usiwe kocha wa hovyo. Unafungwaje dakika ya 30, unashindwa kuja na come back ? With all due respect, Sir , what happened to you ? SSC ni timu kubwa , na you have the resources , come back ni lazima iwe ya maana na ushindi ni lazima.

SSC has been established to win, winning is a MUST, sio hiyari au dua. Hatuhitaji dua wala hiyari kushinda.... Kushinda ni lazima , no excuse.

Weka watu ambao they can utilize chances effectively , sio kuweka Mtu anakosa yeye na goli.

We are watching you closely, na weka akili yako vyema ; we are very much disappointed na haisameheki.
Si ungecheza wewe sasa !!?.
Game ina matokeo yake na mengine huwa hayapendezi .
 
Back
Top Bottom