Mgunda, wanaokusifia leo ndiyo hao hao watakaokuzomea kesho

Professor toka aanze kufundisha hajawahi kucheza Caf champions league kocha wa mchongo
 
sio Mgunda tu kocha yeyote yule anae boronga mashabiki hawamuachi salama,hata kama alishawai kuipa timu mataji yote ya Duniani ila akianza kuboronga tu mashabiki wanaruka nae.
 
Mkuu, sasa hivi kelele za kumtaka kocha Matola hazisikiki.
 
Mbona kama mnamuogopa? Hapo hakuna ulichoongea swala la kuondoka hata Prof Nabi ataondoka Ila Kwa sasa Acha tuinjoi soka la pep mnene
 
Pambaneni na profesa wenu. Maana nabi amepewa cheti cha uprofesa na sokwe takadini manara
 
sio Mgunda tu kocha yeyote yule anae boronga mashabiki hawamuachi salama,hata kama alishawai kuipa timu mataji yote ya Duniani ila akianza kuboronga tu mashabiki wanaruka nae.
Wamuulize asene wenga
 
huyu hamna kitu ngoja akakutane na mazembe mamelod as vita ndo atauona moto kwenda angola kukutana na lipuli na mbao na biashara united anajikuta kocha bora afrika

Aliwaweka 3 pale mkwakwank mkabaki mnashangaa lakini
 
Juma Mgunda, sasa hivi ni kocha wa klabu ya Simba. Tokea ajiunge na klabu hii pana watu wanajitahidi kumpamba kuwa ni kocha mzawa mzuri mno, wakitaka kututoa katika kumbukumbu kuwa katokea timu ya Coastal Union iliyopo Ligi Kuu kama timu ya Simba.

Mimi, naamini kuwa kufanya vizuri kwa timu ya Simba sasa hivi ni kwa juhudi za wachezaji, klabu iliyowasajiri na si usajiri alioufanya kocha Mgunda. Hivyo namtahadharisha kocha huyo kujiandaa kisaikolojia kuwa wanaomsifia sasa hivi kwa timu kufanya vizuri kimichezo ndiyo hao hao watakao mzomea kesho pindi timu ikianza kufanya vibaya.

Sasa hivi kelele za kumtaka kocha Matola wala hazisikiki na ndiyo muda mzuri kwake kuondoka hapo.
Hiyo ni kawaida kwa makocha wote
Fikiria kocha Nabi akipoteza mechi ya kesho na ya 23 October
 
Umeshawahi kuwaona mashabiki wa Yanga wakimzomea hadharani na kumrushia kocha makopo ya maji, kama mlivyo mfanyia Matola?
Tatizo lenu huwa mnasahau mapema sana, hayo Mambo kuzomea na kurusha makopo yameanzia kwenu mashabiki wa Yanga

Mshamzomea mwinyi zahera na kumrushia makopo zaidi ya mara 1

Ya Kwanza kule mwanza katika game ya Pyramid na nyie mkafa goli 2-1, baada ya hapo mwinyi zahera au Mr vipensi akala sana makopo ya kichwa mixer matusi

Game ingine ilikuwa pale Taifa mmetoa draw na Lipuli kama sijasahau, Mwinyi zahera ikabidi apate escort ya polisi baada ya makopo kumzidia

Mshawahi kumzomea na kumrushia makopo Lamine Molo hadi akawaoneshea kidole cha Kati pale Kwa mkapa

Mshawahi kumzomea na kumrushia makopo Metacha Mnata hadi akawaoneshea kidole cha Kati tena pale Kwa mkapa

Kwahiyo msijifanye nyie ni wastarabu sana kumbe nyie ndio mnaongoza Kwa vurugu
 
Juma Mgunda, sasa hivi ni kocha wa klabu ya Simba. Tokea ajiunge na klabu hii pana watu wanajitahidi kumpamba kuwa ni kocha mzawa mzuri mno, wakitaka kututoa katika kumbukumbu kuwa katokea timu ya Coastal Union iliyopo Ligi Kuu kama timu ya Simba.

Mimi, naamini kuwa kufanya vizuri kwa timu ya Simba sasa hivi ni kwa juhudi za wachezaji, klabu iliyowasajiri na si usajiri alioufanya kocha Mgunda. Hivyo namtahadharisha kocha huyo kujiandaa kisaikolojia kuwa wanaomsifia sasa hivi kwa timu kufanya vizuri kimichezo ndiyo hao hao watakao mzomea kesho pindi timu ikianza kufanya vibaya.

Sasa hivi kelele za kumtaka kocha Matola wala hazisikiki na ndiyo muda mzuri kwake kuondoka hapo.

Hivi wewe ukipewa hongera umeoa mke mzuri, unajiandaa kisaikolojia Ata ku cheat?
 
Juma Mgunda, sasa hivi ni kocha wa klabu ya Simba. Tokea ajiunge na klabu hii pana watu wanajitahidi kumpamba kuwa ni kocha mzawa mzuri mno, wakitaka kututoa katika kumbukumbu kuwa katokea timu ya Coastal Union iliyopo Ligi Kuu kama timu ya Simba.

Mimi, naamini kuwa kufanya vizuri kwa timu ya Simba sasa hivi ni kwa juhudi za wachezaji, klabu iliyowasajiri na si usajiri alioufanya kocha Mgunda. Hivyo namtahadharisha kocha huyo kujiandaa kisaikolojia kuwa wanaomsifia sasa hivi kwa timu kufanya vizuri kimichezo ndiyo hao hao watakao mzomea kesho pindi timu ikianza kufanya vibaya.

Sasa hivi kelele za kumtaka kocha Matola wala hazisikiki na ndiyo muda mzuri kwake kuondoka hapo.
They hired to be fired, naona matola mwisho wake umefika maana simba wakipata kocha mkuu mgunda anakuwa msaidizi
 
Tatizo lenu huwa mnasahau mapema sana, hayo Mambo kuzomea na kurusha makopo yameanzia kwenu mashabiki wa Yanga

Mshamzomea mwinyi zahera na kumrushia makopo zaidi ya mara 1

Ya Kwanza kule mwanza katika game ya Pyramid na nyie mkafa goli 2-1, baada ya hapo mwinyi zahera au Mr vipensi akala sana makopo ya kichwa mixer matusi

Game ingine ilikuwa pale Taifa mmetoa draw na Lipuli kama sijasahau, Mwinyi zahera ikabidi apate escort ya polisi baada ya makopo kumzidia

Mshawahi kumzomea na kumrushia makopo Lamine Molo hadi akawaoneshea kidole cha Kati pale Kwa mkapa

Mshawahi kumzomea na kumrushia makopo Metacha Mnata hadi akawaoneshea kidole cha Kati tena pale Kwa mkapa

Kwahiyo msijifanye nyie ni wastarabu sana kumbe nyie ndio mnaongoza Kwa vurugu
Mimi naongelea makocha, wewe unaleta story za akina Metacha Mnata, Lamine Moro! Bora hata ulivyomtaja huyo Mwinyi Zahera, walau umejibu vile inavyotakiwa. Ingawa bado unaonekana huna uhakika.
 
Hata Kaze mmewahi kumtukana kwenye ile game yenu iliyowaharibia unbeaten record kule Tanga. Mlifululiza draw kisha mkapoteza huo mchezo, alioga matusi mpaka ikabidi apewe escort kuingia kwenye bus la team.

Mkwasa nae hivyohivyo.

Sasa mama yote hayo hauyakumbuki, napata wasiwasi na umri wako.
 
Mgunda
Hemed Morroco
Salum mayanga
Bakari Shime
Juma mwambusi
Suleiman Matola
Hawa ni walimu wazawa ambao wapo mpaka sasa na washaprove ni walimu wazuri haijalishi hali za vibarua vyao
 
Mimi naongelea makocha, wewe unaleta story za akina Metacha Mnata, Lamine Moro! Bora hata ulivyomtaja huyo Mwinyi Zahera, walau umejibu vile inavyotakiwa. Ingawa bado unaonekana huna uhakika.
Sina uhakika kivipi sasa ikiwa nimekupa na ushahidi? Kwahiyo wewe mwanayanga hujui kama wenzio walimzomea na kumrushia makopo Mwinyi zahera

Sio kazi yangu Mimi kukuhakikishia, kazi yangu Mie ilikuwa ni kukukumbusha kuwa na nyie msharushia kocha makopo na kwenda mbali zaidi na kurushia wachezaji makopo

Nenda YouTube kathibishe mwenyewe kilichomkuta zahera game ya Pyramid, kwahiyo msijifanye nyie wastarabu ilhali kila mtu anajua tabia za mashabiki wa Yanga

Bado kuna issue ya Luc eymel kuzomewa hadi akafikia hatua ya kuwaita mbumbumbu hamjui mpira,mnabweka mbweka tu kama Mbwa na Akili zenu kama za Nyani

Kwahiyo hakuna kipya kwenye ushabiki wa usimba na uyanga, Makocha wanaajiliwa ili kufukuzwa kote duniani, kama atafanya kazi nzuri mashabiki watakuwa nyuma na ikiwa tofauti watamkataa tu
 
Juma Mgunda, sasa hivi ni kocha wa klabu ya Simba. Tokea ajiunge na klabu hii pana watu wanajitahidi kumpamba kuwa ni kocha mzawa mzuri mno, wakitaka kututoa katika kumbukumbu kuwa katokea timu ya Coastal Union iliyopo Ligi Kuu kama timu ya Simba.

Mimi, naamini kuwa kufanya vizuri kwa timu ya Simba sasa hivi ni kwa juhudi za wachezaji, klabu iliyowasajiri na si usajiri alioufanya kocha Mgunda. Hivyo namtahadharisha kocha huyo kujiandaa kisaikolojia kuwa wanaomsifia sasa hivi kwa timu kufanya vizuri kimichezo ndiyo hao hao watakao mzomea kesho pindi timu ikianza kufanya vibaya.

Sasa hivi kelele za kumtaka kocha Matola wala hazisikiki na ndiyo muda mzuri kwake kuondoka hapo.
unaumia kutokea wapi? pole1
 
Utopolo mnaakili za kijinga sana.

Kanuni ya kocha ni kuajiriwa na kufukuzwa, hakuna club yoyote ile ambayo ina malengo fulani itakaa na kocha for a lifetime. Kwasasa anafanya vuzuri wacha apokee sifa zake ili ajivunie kazi yake, irakapofikia hatua mbinu zake zimefika ukomo wa kuleta matokeo mazuri kutokana na sababu mbalimbali, basi sharti ni AFUKUZWE ili kutafuta changamoto sehemu nyingine.

Wameondoka akina Pitso Masandawana na Ahly itakuwa Mgunda? Kikubwa tu ambacho natamani kuona ni Mgunda apewe maslahi makubwa sawa na jinsi ambavyo waliwatukuza wazungu, Utz wake uaiwe kigezo cha kumyonya ila siku anaondoka Simba Sc basi awe na la kukumbuka na kushukuru.
Nakuunga mkono. Nasisitiza Mgunda apewe mshahara mkubwa unaolingana na hadhi ya Simba na unaolingana na ule waliokuwa wanapewa makocha wengine wa nje. Isitokee kabisa ikawa Mgunda amepewa hiyo nafasi kama njia ya kubana matumizi!!!
 
Back
Top Bottom