Mgunda, wanaokusifia leo ndiyo hao hao watakaokuzomea kesho

Mgunda, wanaokusifia leo ndiyo hao hao watakaokuzomea kesho

Juma Mgunda, sasa hivi ni kocha wa klabu ya Simba. Tokea ajiunge na klabu hii pana watu wanajitahidi kumpamba kuwa ni kocha mzawa mzuri mno, wakitaka kututoa katika kumbukumbu kuwa katokea timu ya Coastal Union iliyopo Ligi Kuu kama timu ya Simba.

Mimi, naamini kuwa kufanya vizuri kwa timu ya Simba sasa hivi ni kwa juhudi za wachezaji, klabu iliyowasajiri na si usajiri alioufanya kocha Mgunda. Hivyo namtahadharisha kocha huyo kujiandaa kisaikolojia kuwa wanaomsifia sasa hivi kwa timu kufanya vizuri kimichezo ndiyo hao hao watakao mzomea kesho pindi timu ikianza kufanya vibaya.

Sasa hivi kelele za kumtaka kocha Matola wala hazisikiki na ndiyo muda mzuri kwake kuondoka hapo.
Si ni sawa hata kwa Nabi tu, mlimsifia sana lkn ndio hivyo tena ameshakalia kuti kavu
 
Huo ndio ukweli ngoja waingia mskundi wapigwe ingia toka atapata akili tu
 
Mkuu, sasa hivi kelele za kumtaka kocha Matola hazisikiki.
Mimi nilikua mdau mkunbwa wa kuhoji kosa la Matola ni lipi,fatilia hata humu kwenye nyuzi za kumuhusu Matol
a"Veron"
 
Back
Top Bottom