Mguu huu ni wa kwenu wenyeji

Mguu huu ni wa kwenu wenyeji

kindege534

Member
Joined
Jul 28, 2014
Posts
97
Reaction score
24
Ni kitambo nimekua nafuatilia JF kupata taarifa mbalimbali nikiwa unregistered, kwa sababu sikupenda baadhi ya majibizano yaliyotumia lugha chafu.
Baada ya kitambo nikagundua naweza kujiunga na kutumia majukwaa baadhi ninayoyapenda. Basi baada ya kugundua hili nikaji register mara moja. Nawasalimu nyote.
 
Back
Top Bottom