mguu unauma sana

mguu unauma sana

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
52
watalam je kuna dawa ya kutuliza maumivu ya mifupa hasa miguuni ?
 
Hayo maumivu yameeanzaje mkuu?meanwhile tumia pain killers kupunguza maumivu kabla dr wako hajagundua tatizo lake hasa.
 
diclofenac au asprin itakuwa nzur endapo huna tatizo la vidonda vya tumbo!!
 
watalam je kuna dawa ya kutuliza maumivu ya mifupa hasa miguuni ?

Unaumwa mguu au miguu? Kichwa cha habari na habari yenyewe haviendani? Any way unaweza kucheki pingili za mgongo hiyo ni sababu kubwa sana ya maumivu ya mguu
 
Back
Top Bottom