Mguu wa chid benz mbona hauponi?

Mguu wa chid benz mbona hauponi?

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Habari wakuu

Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?

Maana Jana kapanda stejini na yeboyebo inaonyesha bado anashida mguuni.
 
Attachments

  • Screenshot_20240427-090627_YouTube.jpg
    Screenshot_20240427-090627_YouTube.jpg
    95.8 KB · Views: 23
Habari wakuu

Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?

Maana Jana kapanda stejini na yeboyebo inaonyesha bado anashida mguuni.
si nilimuona anombewa na yule Nabii wa Arusha kwani hajapona tu
 
Sehemu hizo ukiumia katk umri ambao mwili kujitengeneza wenyewe ni ngumu basi ujue kupona itachukua muda. Na usipo angalia kinageula kuwa kidonda sugu kisichopona.
 
Habari wakuu

Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?

Maana Jana kapanda stejini na yeboyebo inaonyesha bado anashida mguuni.
Hua asilimia nyingi ya wengi wanaotumia madawa utakuta miguuni mwao wana vidonda tena ni kuanzia kwenye ugoko hadi usawa wa kwenye goti sijajua ni kwasababu gani,wengi tu nimeshawaona,hapo kupona kwake itamchukua muda mrefu sana
 
Sasa Unamuuliza nani, sisi ni Madaktari wake?
 
Sehemu hizo ukiumia katk umri ambao mwili kujitengeneza wenyewe ni ngumu basi ujue kupona itachukua muda. Na usipo angalia kinageula kuwa kidonda sugu kisichopona.
Ukijumlisha na mibangi na madawa mengine ya kulevya anayotumia ndio kabisa.
 
Habari wakuu

Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?

Maana Jana kapanda stejini na yeboyebo inaonyesha bado anashida mguuni.
Sanaa za aina hiyo huzijui??
 
Dar es Salaam Stand Up

Chid standup bro

Long time coming
 
Habari wakuu

Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?

Maana Jana kapanda stejini na yeboyebo inaonyesha bado anashida mguuni.
Huenda ana Diabetes Mellitus (Kisukari) au anatumia dawa ambazo zinapelekea kinga za mwili wake kushuka mfano corticalsteroids drugs hivyo inakuwa ngumu yeye kupona .
 
Hua asilimia nyingi ya wengi wanaotumia madawa utakuta miguuni mwao wana vidonda tena ni kuanzia kwenye ugoko hadi usawa wa kwenye goti sijajua ni kwasababu gani,wengi tu nimeshawaona,hapo kupona kwake itamchukua muda mrefu sana
Kwa sababu mguuni ni less clean ,nutrition status yake,immune status yake hivyo inapelekea healing process kuchukua muda .
 
Back
Top Bottom