Mshamba wa kusini
JF-Expert Member
- Jun 30, 2015
- 2,857
- 3,593
si nilimuona anombewa na yule Nabii wa Arusha kwani hajapona tuHabari wakuu
Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?
Maana Jana kapanda stejini na yeboyebo inaonyesha bado anashida mguuni.
Hua asilimia nyingi ya wengi wanaotumia madawa utakuta miguuni mwao wana vidonda tena ni kuanzia kwenye ugoko hadi usawa wa kwenye goti sijajua ni kwasababu gani,wengi tu nimeshawaona,hapo kupona kwake itamchukua muda mrefu sanaHabari wakuu
Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?
Maana Jana kapanda stejini na yeboyebo inaonyesha bado anashida mguuni.
Sasa Unamuuliza nani, sisi ni Madaktari wake?
Nilisikia kwenye interview moja akisema ameungua na maji ya moto lakini chid sio wa kumuamini sanaAlifanyaje?ni ajali?
Kwani aliombewa kidonda?si nilimuona anombewa na yule Nabii wa Arusha kwani hajapona tu
Ukijumlisha na mibangi na madawa mengine ya kulevya anayotumia ndio kabisa.Sehemu hizo ukiumia katk umri ambao mwili kujitengeneza wenyewe ni ngumu basi ujue kupona itachukua muda. Na usipo angalia kinageula kuwa kidonda sugu kisichopona.
Sanaa za aina hiyo huzijui??Habari wakuu
Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?
Maana Jana kapanda stejini na yeboyebo inaonyesha bado anashida mguuni.
Huenda ana Diabetes Mellitus (Kisukari) au anatumia dawa ambazo zinapelekea kinga za mwili wake kushuka mfano corticalsteroids drugs hivyo inakuwa ngumu yeye kupona .Habari wakuu
Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?
Maana Jana kapanda stejini na yeboyebo inaonyesha bado anashida mguuni.
Kwa sababu mguuni ni less clean ,nutrition status yake,immune status yake hivyo inapelekea healing process kuchukua muda .Hua asilimia nyingi ya wengi wanaotumia madawa utakuta miguuni mwao wana vidonda tena ni kuanzia kwenye ugoko hadi usawa wa kwenye goti sijajua ni kwasababu gani,wengi tu nimeshawaona,hapo kupona kwake itamchukua muda mrefu sana
Ndio Inakua ile Wahenga walisema na Fid Q akaimba,"Donda Ndugu haliwezi pona"Sehemu hizo ukiumia katk umri ambao mwili kujitengeneza wenyewe ni ngumu basi ujue kupona itachukua muda. Na usipo angalia kinageula kuwa kidonda sugu kisichopona.
Hatujauchukua mkuuMguu wake tumuachie mwenyewe