Mguu wa kushoto una pata maumivu makali kwenye kisigino

Mguu wa kushoto una pata maumivu makali kwenye kisigino

Mkuu miguu wako unatatizo linaitwa pysflozftnmu( huu ugonjwa niliushudia nchii Latvia) kwa huku sijui wanaitaje

Ila walikuwa wanachukua asali na miti Fulani wanachanganya alafu wanafanya kama Wana kukanda hivi Hadi Raha yani
 
Hosp ipo dar? Nipe jina la hospital kaka. Na ulitumia sh ngap? Mm pia naumwa sana mateso bila chuki.
Nilienda hospital ya zahanati ya Kijiji nikaandikiwa sindano na dawa ya kuchua kaka gharama nilitumia buku teni tu au kama vipi unaona jau pitia duka la dawa Nunua dawa ya kuchua paka asubuhi na jioni alafu uwe unafanya mazoezi ya kuchezesha vidole na kuchezesha miguu kushoto na kulia utapona tu
 
Sawa. Sindano yaitwaje?
Maana mi tatizo la miaka.
 
Nimesahau kaka ila ungeenda ungepona kaka tatizo Hilo ukitibiwa kupona wiki tu tatizo linaisha
Kuna mdau kanambia nisithubutu sindano. Ndugu yake alikatazwa na madaktari wakamuambia unakaa sawa kipindi kifupi kama miezi 3-6 kisha maumivu yanarudi maradufu. Ikirudi hiivyo suluhu wanqsema ni surgery
 
Hamna kaka ni maneno ya mitaani tu mbona mie nipo sawa na hadi nakimbia sina maumivu Tena
 
Kuna mdau kanambia nisithubutu sindano. Ndugu yake alikatazwa na madaktari wakamuambia unakaa sawa kipindi kifupi kama miezi 3-6 kisha maumivu yanarudi maradufu. Ikirudi hiivyo suluhu wanqsema ni surgery
Uwe unakanda na barafu ukimaliza paka dawa ya kuchua
 
Tujitahidi pia mara moja moja kukanyaga ardhi peku,,Si kila wakati viatu tuu,,,wenyewe wanasema kutamalaki ni bonge moja la tiba ardhi inavirutubisho vyake vya msingi,,na ndio maana watoto huwezi wakuta na hizi suluba hata watu wa vijijini huko ambao mara nyingi wapo peku hawanaga hizi suluba!!###SiriNiwapa##
 
Naombeni msaada nina tatizo la mguu upande wa kushoto kwenye kisigino kuna maumivu makali sana hadi kukanyaga nashindwa hali imenianza toka juzi

View attachment 2786393
Nenda pale Burhani hospital kuna daktari mmoja jina sijui atakitibu utapona anadawa zake. Ama kanunue chumvi ya mawe chemsha halafu kanyagia huo mguu. Najua hayo maumivu.
 
Back
Top Bottom