Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
stay tuned,nitakuja na part II yake.Nalog offduh,haiendelei tena jamani?
duh,haiendelei tena jamani?
yaelekea ni nzuri ila ndefu sana..nimeshindwa kuimaliza..hebu mtu anisummarizie fasta fasta! nina hamu ya kujua contents
Tunajifunza kutoka kwa wengine, kama tumeamua kujifunza. Kwa wale ambao wameamua kujifunza kupitia habari hii, ni wazi watakuwa wamejifunza kitu kikubwa na cha maana sana. Wataalamu wa uhusiano wanadai kwamba, mtu anapotoka nje ni lazima atafumaniwa. Kama hatafumaniwa mwaka wa tatu tangu uhusiano wake na huyo mpenzi wake kuanza, basi ni lazima atafumaniwa kabla ya mwaka wa sita wa uhusiano huo haramu.Duh! Kweli mshahara wa dhambi ni kufa!
Hapa ngoja niendelee tu kusoma comments za watu...kupitia hizo nitapata picha nzima!Mzee mwenzangu Rejao, unajua hii stori ilikuwa na kurasa nane! hapo nime-summarize sana
utai paste wapi ili tuifuate? Nalog offShikamoo baba,
Nimeipenda baba,
Naruhusiwa kukopi na kupest?
Hongera baba!
Kwa pc yangu Nalog on.utai paste wapi ili tuifuate? Nalog off
Hapa ngoja niendelee tu kusoma comments za watu...kupitia hizo nitapata picha nzima!
najiuliza ,mkono wako umeweza kuchapa vipi story yote hii, au tayari umeshapona kabisa?
Kazi hiyo kaifanya shemejio Mama Ngina, mie bado naumwa mkuu................
imetulia ila sina uhakikia mtu aliyekwishaanza kazi mwaka 1977 kama ana uwezo wa kutumia computer