Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
ahaaaa ujue wabongo wanatukuza sana tiba za wazungu ila ona The Boss keshaenda hosptal zote na hajapona. wazee wetu walikuwa the best bwana sema mzungu tu kateka watu akili wanunue madawa yao uchumi wao upande .wao wapo kibusinessKutoboa unyayo kwa sindano za moto? Hao watu wa kijijini kwenu kama siyo wachawi watukuwa mumiani!
Last edited by a moderator: