Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia



Unaweza kukuta huyu Jamaa aliyeandika huu utumbo labda hata ni Waziri Muhongo, Zito kabwe au raisi Kikwete mwenyewe!


Nakuhakishia aliyeandika hii ni JK , hiyo ni ID yake hapa Jf
 
Kibo10 ungemgeuza nyuma pia tukaona alichojaaliwa....
 
Last edited by a moderator:

Haya mengine siyajui ila kwa jinsi alivyokuwa anajieleza bungeni yupo vizuri
 
mleta mada kama sio mtu wa kanda ya ziwa..cjui
 
Mbona keshakuwa mtu mzima huyu...hem mwacheni alee familia yake.
 
Kuna watu mmepinda...eti JK...lol

Sio kupinda mkuu, JK ni Kiwembe, kila mkoa anademu, na hata huko marekani na uchina si tu anaenda kuiuza nchi na rasilimali zetu, bali pia ana vimada! Kwa umri wake kweli ni sahihi kuwa na mtoto wa darasa la tatu?
 
huyu mheshimiwa rangi tu inambeba lkn siyo beautiful onyinye kabisa.Waziri wa fedha mama Saada Mkuya kile ndio chuma(nisamehe mama yangu najua u-mtu mzima),nadhani hata watoto wake watakuwa moto wa kuotea mbali.
 
Mh! Hii hapana wazee, hebu muheshimuni mama wa watu bwana......mambo gani haya sasa

Anaitwa Angel Mkwizu. Nilisoma nae O level. Enzi hizo alikua mwembamba sana. Kweli pesa sabuni ya roho,siku hz kawa bonge la mtu.
 
Mh! Hii hapana wazee, hebu muheshimuni mama wa watu bwana......mambo gani haya sasa

Nilitaka kusema hili hili kama wewe, jamani kama tunataka kusifu warembo tusifu wengine wapo kibao, huyu ni mama mtu mzima unamsifu urembo wa nini...? Huku ni kokosea adabu kabisa...
 
Dah! Imenibidi Nicheke aisee! Eti Moyo ukanipasuka paaa..!
 
Sijaona kipya hapa huyu mbona ni mwanamke tu tena wa kawaida sana, hamshindi wifi yenu/shemeji yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…