titimunda
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 7,571
- 9,789
Its worth the risk,tunaishi mara moko tu mkuu,plus kuna kutembeza bakuki, sikuizi kuna goFundMe,na Mpesa.hahahahaa haya sirkali haitibii watu nje shauri lako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Its worth the risk,tunaishi mara moko tu mkuu,plus kuna kutembeza bakuki, sikuizi kuna goFundMe,na Mpesa.hahahahaa haya sirkali haitibii watu nje shauri lako
HahahahahMi napendekeza tumchague awe Rais wetu, 2015, tunufaike zaidi na mikataba minono, au sio wadau
Vyeti vilikuacha salama dada????Ama kweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu.Yule mmama ana uzuri gani jamani?Na ule mdomo sasa mhhhhh???
Mtoto Wa kipare!Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh! Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia.
Ila ingelikuwa sio hivyo ningetangaza nia kwa njia na gharama yoyote maana mh. anarangi ya mtume ngozi nyororo kama asali yani ni mtamu hata machoni ki ukweli,nimemwona ITV moyo ukanipasuka Paaa...!
Dah!basi tena acha waliowahi wafaidi
hahaha unanyota kama ya lissu? kwanza alididimiziwa risasi za kutosha na akasurvive utaweza>?Its worth the risk,tunaishi mara moko tu mkuu,plus kuna kutembeza bakuki, sikuizi kuna goFundMe,na Mpesa.
Mwenyekiti wa ukoo wenu woteAngela kairuk ndo nan? Msaada plz
lipi hilo kati ya hawa kuna mmoja anaongea hapa km redio mbovu full mswahili
hahaha haya karibu matatizoni mkuuAliyeenda hewani, huyo mwingine hata simfahamu
Nimeshanusurika kufa zaidi ya mara tano,kwahyo nahisi nyota ninayo,tatizo umaarufu ndo sinahahaha unanyota kama ya lissu? kwanza alididimiziwa risasi za kutosha na akasurvive utaweza>?
Vinakuhusu nini vyeti vyangu?Vyeti vilikuacha salama dada????
haaaa safari hii unaenda na majiNimeshanusurika kufa zaidi ya mara tano,kwahyo nahisi nyota ninayo,tatizo umaarufu ndo sina
Mkuu mbona skuelewi?,uko upande wangu mwana Jf mwenzio au uko upande wa watu wasiojulikana?haaaa safari hii unaenda na maji
hahahahaha mimi pia ni mtu nisiyejulikanaMkuu mbona skuelewi?,uko upande wangu mwana Jf mwenzio au uko upande wa watu wasiojulikana?
Limefutwa tayariNasikia ni chakula ya mkuluuuu kuna chapisho lilikuwemo humu likizungumzia hayo
[emoji15] [emoji15] [emoji15]hahahahaha mimi pia ni mtu nisiyejulikana
mmmh huyu waziri Kairuki ana kidomodomo yan kwa ufupi hajatulia..Pia ni mchpkj wa kutupwa...Ila kwa ngozi nzuri kajaaliwa....Pale ukienda ukipiga goli misuli ya kuunga p..umb..u na mapaja itavuta kwa utamu uliopitiliza then utaishia kuumwa...Pale wanapigapiga vigogo kimtindo hata uwaziri kapewa kwa chapuo hana lolote kichwani...!