Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

Toka jk achukue nchi hajawahi kuchaguwa waziri mtamu kama huyu angela
Mzee ana macho sana ni mtaalamu wa kupointi sana.

Pia kuna yule Pindi Chana. miye hoooi hivi ana ndoa yule? msinilaumu napenda wenye sura innocent halafu wafupi!
 
Hujamwona waziri wa mambo ya nje na mashauri ya kigeni kenya pale mpka prezidaa UK uvumiliv ulimshinda ilibidi achepuke
 
Astakhafurah!
 

Acha tamaa shimo ni lile lile dogo
 
Embu mmoja aweke profile yake basi... Tujue ni kabila gani, ana watoto mabinti wangapi wana umri gani na yy anaishi wapi?

Ni Mhaya wa Katoma-Bukoba
Mke wa Balozi Mbelwa Kairuki
Wana watoto 2
 
Mi napendekeza tumchague awe Rais wetu, 2015, tunufaike zaidi na mikataba minono, au sio wadau
 
Kuna kitu kuhusu huyu mheshimiwa kinachomfanya awe na mvuto na personality (si umbo lakini maana naona shape hana)...nadhani ana sura ya upole na anaonekana si domo kaya...hasa ukimlinganisha na mawaziri wengine wengi wanawake tz.

mpole na ana mvuto kama sofia simba na celina kombani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…