Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

Tuongee dili nikuunganishie....mimi ni mtu wake wa karibu kushinda hata chupi yake.......weka dau mkuu niunganishe nyoyo zenu......
 
Mtoto wa Salim A. Salim... Mama yake ni yule aliyekua naibu waziri wa fedha kabla ya mh. Mgimwa kufariki

Mhhh I doubt this!
Kama ni mtoto wa Mama Zakhia Meghji ilikuaje akulie Bukoba na wala sio Chokocho-Pemba kwa baba yake Salim au Moshi kwa Mama yake na kwa baba yake wa kambo Profesa Meghji?

Mbona ni Mbunge wa viti maalum CCM aikitokea Mkoa wa Kagera kwa miaka karibia 10 sasa?Kaifikaje fikaje Bukoba?

Kama baba na mama wa Naibu waziri huyu wote ni waumini wazuri wa dini ya kiislam (Dr Salim na Mama Zakia)haya majina ya mfumo kristo kapewa na nani?

mymy umeacha maswali mengi kwenye hoja yako zaidi ya majibu yako!
 
Last edited by a moderator:
Tuongee dili nikuunganishie....mimi ni mtu wake wa karibu kushinda hata chupi yake.......weka dau mkuu niunganishe nyoyo zenu......

Fedha hapa si kitu mkuu we unga waya hizo moto uwake!
 
Kaka Chaza huyo ni mtoto wa Salim A. Salim....(mwanae sio mchepuko)

Ok, nashukuru kwa kujuzwa hilo
Ndo uzuri wa JF. Kuna mdau kauliza swali fulani je Angel ni wa mrengo Church au Mrengo Mosque( Masjid). Kumbuka ni mtoto wa Dr S.A. Salim!
 
Aisee em ngoja mi niendelee kupiga shule sambamba na injoface,lazma ije anzishwa thread humuuu nikiukwaa uwaziri...
 
Kaka ni kweli! Huyu ni binti ya Salim Ahmed Salim! Umeshangaa as if Salim ni mgumba!

Sikushangaa ila habari ilipotokea ndio gumzo kama sio bughudha!!!!!!
Ndio maana wazee wanasema "waangalieni kwa umakini, wana mioyo mizito hao" msiwachukulie kwa wepesi!!!!!
 
Back
Top Bottom