KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mama yetu huyu tuwe wakweli kaumbika kiukweli! Tumpe sifa zake, sura nzuri rangi pia iko angavu! Naamini kwenye Cabinet nzima yeye ni CUTE namba moja.
Mtoto wa Salim A. Salim... Mama yake ni yule aliyekua naibu waziri wa fedha kabla ya mh. Mgimwa kufariki
Kaka Chaza huyo ni mtoto wa Salim A. Salim....(mwanae sio mchepuko)
Baba yake ni Salim A. Salim
eeeeenh Ndiiiiiiiiwoh!
Ati??!!
Salim A Salim, Kairuki linatoka wapi?
Mbona wa kawaida?
Ni mchoyo huyo acha.! kama huamini mjaribu
Kaka ni kweli! Huyu ni binti ya Salim Ahmed Salim! Umeshangaa as if Salim ni mgumba!
Hata mimi nahisi rangi inamsumbua