Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia


Umenichekesha sana eti ungemroga ili asikukimbie!
 


Mkuu aliye faidi ni yule aliye kata UTEPE au anaemiliki kwa ss?
 
Kwa hiyo lile jina la Mkwizu ni kanyaboya? Au Salim A. Salim anaitwa Salim A. Salim Mkwizu. Naomba kuelewa..

Jambo hili la kuwa huyu mh. ni mtoto wa mzee Salim A. Salim hadi muda huu halijajibiwa kwa ufasaha!
 
Mimi namjua mama yake mzazi anaitwa Esther mkwizu ni non executive director wa B.O.T
 
Angela kairuki ni hatari, huwa mnamuona anapojongea mbele kujibu hoja mjengoni? Wabunge wote wanaume macho huwatoka, kijungu cha hatari,
 
Yupo mwingine anaitwa Ummy Mwalimu yule amethibitishwa na TFDA,ISO,TBS,SUMATRA,TCRA,TANROADS. Hana dosari ameumbika si mchezo. Kama hawa waheshimiwa wangekuwa wanapatikana mtaani kirahisi kama raia wengine ningemfuata nikampa hongera, pia alie muoa nae ningempa mkono wa pongezi kwa kujua kuchagua.
 

Ifike mahali tuwe wakweli jamani. Ummy hawez hata mara mia kumfikia mama na dada yetu Angel never ever! Kwa tabasam, upole, uzuri, saut nyororo( ya mwanamama/ mwanamke wa kibantu)! Kama hips sina hakika! Mapokez Mh Angel kamuacha huyo mh. labda Dar- Chalinze yaani km109!
 

Ummy ni mzuri kuliko Angela.inategemea unaangalia nini maana Angela miguu hana iwapo unavutiwa na rangi ya kigaidi sawa maana kuna ambao akiona mwanamke mweupe basi ni mzuri lakini kwa mtizamo wangu Ummy ni mzuri zaidi maana uzuri ni combo sio sehemu moja tu rangi umemuoa Angela kwa chini hana umbo miguu kama chaga za kitanda cha kienyeji havutii ila naheshimu mtizamo wako maana nimekumbuka kila mmoja na mzuri wake
 

Nakubaliana na wewe mkuu watu wanatishwa na rangi za Al Qaeda basi inakuwa basi ndiye mzuri zaidi kwa sura Angela mzuri lakini kwa ujumla Ummy Mwaimu ni mzuri ana combo zaidi kuliko Angela ila.kwa ambao huona rangi ya kigaidi ndo kila kitu basi watavutiwa na Angela ila wakumbuke miguu kama bomba la maji
 
Angela kairuki ni hatari, huwa mnamuona anapojongea mbele kujibu hoja mjengoni? Wabunge wote wanaume macho huwatoka, kijungu cha hatari,

Nakubaliana na wewe ila Ummy naye ni mzuri maana uzuri si sura pekee bali mambo mengi ambayo Ummy anayo pia kuliko Angelq ukiacha rangi ya kigaidi
 

Ushazini nae tayali.
 

Mkuu unauhakika na hilo?!
 
Mtoto wa Salim A. Salim... Mama yake ni yule aliyekua naibu waziri wa fedha kabla ya mh. Mgimwa kufariki


Angella mtoto wa Janet Mbene? Acha uzushi wewe mburula!!!!
 
hivi kaolewa kweli au na yeye kipoozewa kama catheline magige
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…