Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Picha zishatupiwa humu hujaziona?kuna moja mzungu amemtolea angela macho!!
Sijaelewa! Salim A. Salim anahusika vp hapo?
Aisee em ngoja mi niendelee kupiga shule sambamba na injoface,lazma ije anzishwa thread humuuu nikiukwaa uwaziri...
Mhhh I doubt this!
Kama ni mtoto wa Mama Zakhia Meghji ilikuaje akulie Bukoba na wala sio Chokocho-Pemba kwa baba yake Salim au Moshi kwa Mama yake na kwa baba yake wa kambo Profesa Meghji?
Mbona ni Mbunge wa viti maalum CCM aikitokea Mkoa wa Kagera kwa miaka karibia 10 sasa?Kaifikaje fikaje Bukoba?
Kama baba na mama wa Naibu waziri huyu wote ni waumini wazuri wa dini ya kiislam (Dr Salim na Mama Zakia)haya majina ya mfumo kristo kapewa na nani?
mymy umeacha maswali mengi kwenye hoja yako zaidi ya majibu yako!
Kweli kila mtu ana ugonjwa wake, hapa mimi sioni kitu jamani, hamna! Labda kwa wale wagonjwa wa bodi, na wale jamaa zetu wakiona mwanamke mweupe tu ni mzuri tayari!
View attachment 171853
Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh! Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia.
Ila ingelikuwa sio hivyo ningetangaza nia kwa njia na gharama yoyote maana mh. anarangi ya mtume ngozi nyororo kama asali yani ni mtamu hata machoni ki ukweli,nimemwona ITV moyo ukanipasuka Paaa...!
Dah!basi tena acha waliowahi wafaidi

umemaliza mkuu!
View attachment 172327
Hahahaaaa......tam mende!Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh! Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia.