Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

Mhhh I doubt this!
Kama ni mtoto wa Mama Zakhia Meghji ilikuaje akulie Bukoba na wala sio Chokocho-Pemba kwa baba yake Salim au Moshi kwa Mama yake na kwa baba yake wa kambo Profesa Meghji?

Mbona ni Mbunge wa viti maalum CCM aikitokea Mkoa wa Kagera kwa miaka karibia 10 sasa?Kaifikaje fikaje Bukoba?

Kama baba na mama wa Naibu waziri huyu wote ni waumini wazuri wa dini ya kiislam (Dr Salim na Mama Zakia)haya majina ya mfumo kristo kapewa na nani?

mymy umeacha maswali mengi kwenye hoja yako zaidi ya majibu yako!

Sina uhakika kama kuna uhusiano wowote kati ya Megji na Salim ila huyu Mh. ameolewa kwenye familia ya marehem Profesa Kairuki(aliyekua mmiliki wa Hospitali na Chuo kikuu cha Kairuki). Kuna habari kua Salim A. Salim alikua na mtu wa karibu wa Marehemu Kairuki ndio maana akapewa ukuu wa chuo sidhani kama wana uhusiano wowote na Angela.
 
Kweli kila mtu ana ugonjwa wake, hapa mimi sioni kitu jamani, hamna! Labda kwa wale wagonjwa wa bodi, na wale jamaa zetu wakiona mwanamke mweupe tu ni mzuri tayari!
View attachment 171853

mkuu hapa inaonekana alikuwa hajapaka MAC studio fix ni make up tu ndo zinambadili mwonekano
otherwise KAMA WEUPE UNGEKUWA MALI UBUYU USINGETIWA RANGI
 
Mtoa mada umependa rangi ya gari?

Ikumbukwe kama weupe ungekuwa mali ubuyu usingetiwa rangi full stop
 
mkuu hapa inaonekana alikuwa hajapaka MAC studio fix ni make up tu ndo zinambadili mwonekano
otherwise KAMA WEUPE UNGEKUWA MALI UBUYU USINGETIWA RANGI

umemaliza mkuu!
10487221_542694359164722_1152307346795925731_n.jpg
 
Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh! Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia.

Ila ingelikuwa sio hivyo ningetangaza nia kwa njia na gharama yoyote maana mh. anarangi ya mtume ngozi nyororo kama asali yani ni mtamu hata machoni ki ukweli,nimemwona ITV moyo ukanipasuka Paaa...!

Dah!basi tena acha waliowahi wafaidi

Hujui kuangalia wewe,mbona kwangu mimi naona Pindi Chana yupo vizuri kuliko huyu mama Kauruki? Du hivi yule Pindi Chana nae kaolewa jamani?Yule hakiyanani pamoja na huyu mama siwezi kuwachoka yaani hata ikiwa asubuhi mchana na jioni ntendesha tu mtarimbo bora kuwe na supu tu karibu
 
Hivi unaanzaje kuandika maneno haya kwa mwanamke ambaye kwa hakika kabisa unatambua ni mama wa watoto fulani?

Hivi mama yako mzazi naye tukimuanzishia mada kama hii huoni kuwa tutakuwa tunamdhalilisha yeye na wewe pia???

Tamaa zenu za ngono zinazochagizwa na mapepo ya zinaa zisiwafanye msahau utu na thamani ya mwanamke...

Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh! Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia.

Ila ingelikuwa sio hivyo ningetangaza nia kwa njia na gharama yoyote maana mh. anarangi ya mtume ngozi nyororo kama asali yani ni mtamu hata machoni ki ukweli,nimemwona ITV moyo ukanipasuka Paaa...!
 
Kwa hili naweka siasa pembeni huyu naibu waziri wa katiba na sheria mh! Angela Kairuki ni matumaini yangu atakuwa anandoa yake na familia.

Ila ingelikuwa sio hivyo ningetangaza nia kwa njia na gharama yoyote maana mh. anarangi ya mtume ngozi nyororo kama asali yani ni mtamu hata machoni ki ukweli,nimemwona ITV moyo ukanipasuka Paaa...!

Dah!basi tena acha waliowahi wafaidi
Hahahaaaa......tam mende!
 
Nadhani kwa sasa umeshajua IQ yake ipoje njoo utupe mrejesho tena.
 
Kila mwanaume ana macho yake jamani.................

NB:Kuna watu humu Jf hawapati usingizi kwa ajili ya Lady Jaydee atiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom