Mh, dhambi ya Uroda.....

dhambi zote ni sawa mbele za mungu na zambi zote afanyazo mtu zipo nje ya mwili lakini azinie anafanya ndani ya mwili wake na azinie na mwanamke ana akili kabisa afanya jambo litakomwangamiza nafsi yake

Drphone... Rekebisha sentensi yako kidogo hapo.. Inatakiwa isomeke hv HANA akili kabisa, afanya jambo litakalomwangamiza mwenyewe.. Ni kweli dhambi hii inahusisha mwili wako na ndani ya mwili wako.. Na ndio maana wengine wanadai MUNGU katuma kaugonjwa kwa wanadamu tumemkosea kwa uzinifu.

Vile vile watu wa zamani walikuwa wanaishi miaka mingi zaidi ya 400. Ila kutokana na uzinzi, Mungu akapunguza umri.
 
....

Enyi wanazuoni, nini ukweli wa habari hii?...

Hivi ilikuwa sahihi kwa Maria kupewa mimba wakati alikuwa mke mtarajiwa?

Kwani kulikuwa hamna wasichana wengine huru (not engaged or married) ambao wangeweza kubeba hiyo mimba ya roho mtakatifu? Kwanini [mungu] hakuona kwamba Josefu angejisikia vibaya (yaani kut0mb3wa).

Je hii inatufundisha nini kuhusu mtazamo na muelekeo wa mungu?
Kama hiyo hadisi ni ya ukweli, I am sure Joseph alijisikia vibaya sana hapo!

Pole
 
Dhambi zote sawa, hakuna tofauti kati ya uroda na dhambi zingine.
 
fanya jambo moja. nenda jukwaa la dini na uweke ushahidi wako pale kwa mapana na marefu kwani hapa si pahala pake

Na hii thread ya dhambi imekujaje huku? Kama kuna mtu wa kuambiwa chochote kuhusu pahali husika pa thread hii basi ni muanzisha thread, wala si mimi mchangiaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…