Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?


Yaah na ndio maana strategies za kumsafisha haziwaingii watu akilini.
past ya bwana Lowasa leaves more questions that answers.
Mliochukua mlungula wa kumsafisha, kazi mnayo.
 

Usafi pengine una maana pana zaidi kwenye siasa

Maswali yako ni ya msingi sana ngoja Pasco aje atujibie maana hata mimi nina kiu ya majibu...
 

bado nawe una mawazo mgando kuwa n2 akishateuliwa kugombea urais kwa tiketi ya ccm bac ataingia ikulu??? watu walikua wanamhofia magufuli tu pale ccm ndo angalau angekua na ubavu wa kucmama na Dr wa ukweli 2015... naye ndo hivyo tena kishaanza kuboronga kwa kauli zake za kupiga mbizi. Endelea kumsafisha Lowasa at the end of the day u'll find that ur efforts=zero
 

napenda tu kuweka kumbukumbu sawa kuhusu hoja yako. EL kwanza hakufukuzwa na JK.Nyerere. Wakati huo JK.Nyerere hakuwa rais bali Mwinyi ndiye rais wa Jamhuru ya Muungano wa TZ. Kwa hiyo kama kufukuzwa basi ni Mwinyi. Pia hakufuzwa bali alipandishwa cheo kuwa waziri mdogo ktk ofisi ya waziri mkuu.

Kama una kumbukumbu sahihi na siyo jazba na chuku binafsi, EL aliwahi kufanya maamuzi makubwa huko nyuma. Leo wote tu mashahidi wa eneo la Mnazi mmoja kuwa mkombozi wa shughuli mbalimbali za kitaifa na kimataifa. Kama siyo EL leo ingekuwa maghorofa tu.
Pili, EL alishughulikia suala la CITY WATER na wote mashahidi kwamba serikali ilishinda na hata ktk list of shem ya CDM, hiyo tu ndiyo iliyomweka EL ktk list ile.

Tatu, angalia mradi wa maji toka ziwa Viktoria kuja Kahama na Shinyanga. Ukienda kwenye kumbukumbu za bunge 2004 utapata majibu ya EL kwa watanzania; wamisri na dunia nzima kwa kutotambua ule mkataba wa kikoloni wa mto nile. Hata mkuu wa nchi alikuwa na wasiwasi wa mradi huo kutokana na majibu ya serikali ya misri. Huko nyuma tuliwahi kutaka kutumia yale maji tukapigwa stop na misri.

Hayo ni alama chache tu nakupa. Tafadhali fanya utafiti kabla ya kutoa maamuzi.
 

Mhh... sasa naanza kupata picha!!!
 
Pasco,

EL ni mwizi wa mali za umma, na hiyo ndo source ya mtaji wa utajiri anaokuza kila siku ya iendayo kwa Mungu. Nina mashaka na ulipaji wake kodi huko TRA, kwani pale kwenye makampuni yake ya hapa Dar wakaguzi wa TRA wanagwaya kuyakagua.

EL hawezi kuonyesha chanzo halali alikopata mtaji wa biashara zake, ila atatumia njia ya ku influence watakao hoji jambo hili kwa kuwahonga kidogo. Ndo maana hata katika ripoti ya Mwakyembe kwenda kwa IGP kuhusu njama za kutaka kuuliwa yeye, Mengi na Dr. Slaa alitajwa mtoto wa Lowasa alivyokuwa anawapelekea nyama na chakula ma hit - men. Mwakyembe na Dr. Slaa wamemlipua mara nyingi EL kwamba ni fisadi, anajua wana evidence ya hili ndo maana anataka waondoke duniani.
Kwa kujua udhaifu wa law enforcers, EL anawa control kwa remote, ile report IGP hakuishughulikia zaidi ya kumshauri EL aachane na mpango anaotaka kufanya.
Narudia tena: neno rahisi la kufafanua utajiri wa EL ni kwamba ni kutokana na wizi wa mali za umma.
 

Acha tu, kuna watu nimeamini sasa si tu wanaweza kuuza huo utu, wanajiuza miili na akili zao, kwa ajili ya viji pesa.... ni hatari sana kwa watoto waliuo na wazazi wa aina hii.....
 

Usikurupuke,Lowassa anajituma,tofauti yake na wewe ni kuwa wakati yeye anafanya kazi na kutumia maarifa yake vizuri,wewe hutumia muda wako kunywa pombe na kufuatilia umbea na uzushi wa mitaani!
 
Mwenye nacho huongezewa,asokuwanacho hunyang'anywa hata kile kidogo alichonacho.nyie hemeeni tu kwa manji awapatie mchele na unga then mkae vijiweni mcheze bao siku ziishe.wengi msopenda maendeleo hamtakaa muendelee zaidi mtakuja na technolojia mpya ya majungu na namna ya kubadilisha mchezo wa bao uwe wa kisasa zaidi.watizameni wacheza bao wate hohehahe.acheni uvivu wa hata kutumia akili.wenye mali na akili zao wakiviondoa mtaishia kugema mnazi mwishowe mtapata watoto wenye akili kama jk.kwaheri usje nkasirisha
 


Ndio deal la mashangingi ya wabunge lilipo tick.
 
i am just so tired na hii discussion.....

Mungu ....atulinde huko mbele ya safari
 

Umesema vizuri,lakini hahitaji kusafishwa wala kujisafisha,Lowassa hajawahi kuchafuka bali anachafuliwa...God loves him and as such he's a hard nut to crack!
 



Advocators wake wote wanashindwa kutaja source ya utajiiri wake. Why? This is very easy, you do not need a University degree to do so. wakati akiwatuma kumsafisha muulizeni na hilo,
 

Pasco, umetoa dozi yote kwa mara moja safi sanaa. Subiri jamaa wakutukane sasa. MIMI HAPO NAKUPA DOLE GUMBA
 
Lowasa ni kiongozi mahili na kila kitu chake anakifanya kwa umahili mkubwa.Kwa taarifa yako yeye pia ni Mfanyabiashara mahili
 


si umeripwa ukauza utu wako! hawezi kujisafisha kwa kutumia makanisa arudi bungeni ajisafishe maana ndiko alikochafuliwa na si makanisani na hum jf
 

Mfuga Ng'ombe;

1.Nashukuru kwa kuniweka sawa katika ishu ya kufukuzwa AICC,niombe radhi kwa kumbukumbu zangu kutokuwa sahihi.On top of that kwa nini alishindwa kuelezea utajiri wake ameutoa wapi alipoulizwa na nyerere 1995?

2.Maamuzi uliyoyataja hapo sioni kama yanastahili kuitwa magumu kwa sababu zifuatazo;

a)Ni masuala ambayo kwa waziri yeyote ambae angekua kwenye post hiyo angeyafanya,tunaweza kusema that was expected of any person in that post.So nothing special.

b)City Water ni moja kati ya kashfa nyingine nyingi zilizokuwepo serikalini hasa wakati alipokuwa waziri mkuu,Hivyo city water tu ambayo pia ni matokeo ya uzembe wa serikali hiyohiyo haiwezi kuwa ni credit ya maana kwake.

c)Msimamo wa maji ya ziwa victoria sio wa Lowassa kama unavyotaka kumbinafsishia,ulikua ni msimamo wa serikali na ni baraza la mawaziri,alitumika kusema.

3.List of Shame ya CDM sio comprehensive list ya mafisadi wote,namaanisha sio mafisadi wote wako katika hiyo list of shame,ila kila aliye katika list of shame ni fisadi.

4.Kama point yenu ninyi wapiga kampeni wa Lowassa ni uchapakazi,basi yeye sio mchapakazi ukimfananisha na Magufuli.Tunaona impact za magufuli kila anapoenda.

5.Amekaa wizara ya maji mda mrefu,je ni asilimia ngapi ya watanzania wanapata maji safi na salama kwa sasa katika reasonable price?

6.Haujanijibu kuhusu kashfa yake ya Richmond.

Asante,nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…