Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?


Nyerere akisikia haya, atageuka kaburini kwake!!!!:A S embarassed::shock:
 

Your answers leave more questions than answers.
Uchangiaji unaosema wewe ni baada ya kuachia madaraka? Una hakika aliachia kwa hiari yake???????
 

Asante kwa information hii. hebu tuelezee hiyo bahati ya kujega nyumba 3 katika awamu ya kwanza aliipataje? Alipata bahati nasibu au aliokota pesa? Ukijibu hili utakuwa umefunga kabisa hii thread.
 
Your answers leave more questions than answers.
Uchangiaji unaosema wewe ni baada ya kuachia madaraka? Una hakika aliachia kwa hiari yake???????

Are you serious bro? Hujui mchango wa Lowassa? Miimi sioni mtu wa kumfananisha naye CCM sasa hivi.Tatizo mkiambiwa taja altenative yenu mnabaki kimya. Labda tuanzie hapo.
Kuhusu kujiuzuru kwa hiyari yake, pitia hansard za bunge, zina ushahidi kamili wa hilo.
 

Naona tunaanza kukubaliana sasa. Viongozi wa sasa wamekosa vyote , utendaji na uadilifu. Ni mafisadi na uchapa kazi wao ni ziro.
Watanzania sasa hivi wanataka mtendaji, mchapakazi, wamechoka na porojo. Wanataka mtu atakayeleta umeme wa uhakika, barabara za kupitika mwaka wote, masoko ya mazao yao, polisi waadilifu, wafaidike na raslimali zao na mimi binafsi nataka serikali yangu iwe credible. Mtu anayeweza ku- restore credibility ya nchi hii kitaifa na kimataifa ni EL peke yake.
Rwanda walikua vitani juzijuzi leo wanauza kahawa yao moja kwa moja STARBUCKS [google that]. Sisi bado tunauza kwa mawakala wezi wanaopunja wakulima kwa kuchezea mizani na kulipwa kwa mkopo.
Tunang'ang'ania dawa ile ile ambayo haitibu. Tutafute dawa itakayoponya matatizo yetu. Dawa ni EL.
 

We umwona Lowasa tu katika hilo? Wengine huwaoni?. Sitta naye siku za usoni amekuwa akifanya hivyo. Kwa nini Lowasa tu? Mi nadhani ungemuuliza mwenyewe.
 
Hebu jikumbushe ubabe wake ulivyogonga mwamba kwa DC wa Shinyanga mjini.

Huyo alikuwa James Yamungu. Alikua mkuu wa wilaya moja mkoani Mwanza issue hii ilipotokea.[ naweza kusahihishwa hapa].
Nafurahi kwamba ameishastaafu. Huyu ni mfano wa viongozi wasiotakiwa kabisa katika nchi hii. Aliulizwa swali rahisi tu na yeye akajibu " usinifundishe kazi" . Eti kwa sababu amekua DC kwa muda mrefu.
Ni watu kama hawa kila siku ukienda ofisini unaambiwa njoo kesho. Kuna walimu wanafuatilia mishahara yao hawajalipwa miezi na miezi, polisi wanahamishwa bila kulipwa hela ya uhamisho, wastaafu wapo Kigoma mpaka waje Dar kufuatilia pensheni, ruzuku za KILIMO KWANZA zinaishia mifukoni mwao, hawana hata chembe ya ubunifu wa kutatua matatizo.
Mbaya zaidi ni pale GREAT THINKERS kama wewe tunapowaona watu kama hawa wanafaa kutuongoza na kuwasifia !!!
 

EL hawezi na hastahili kufanaishwa na alichokifanya Masihi. Yesu kwanza hakuwa sehemu ya tatizo bali alikuwa mkombozi. sasa EL katukomboaje kwa kubeba zigo si lake?

Mimi si msisiem but I am only a 'friend' of politics (just like u I guess...lol), na ndio maana nalaani kabisa yeye kujitwika zigo lisilomuhusu eti kwa mapenzi ya chama, mimi na wengine kama mimi tungependa hao waimbiwa mapambio wabebe zigo lao waende nalo Keko. Sngekuwa katukomboa sana Watanzania. Tazamama tunavyoangamia na tunavyopoteza muda!!
Sasa hapo tu alikuwa WM je akiwa raisi si nuksi kabisa? si atawabebea mizigo hao maswahiba mpaka aote kibiongo? sasa hapo tofauti yake na swahiba wake wa sasa itakuwa wapi?

Tunataka kiongozi atakayekuwa tayari kutoa rewards au punishments kwa wataostahili na si mambo ya kuambiana mwacheni 'mzee' akapumzike.

Pasco puhhhleeez bana!
 

Dr. Pombe Magufuli is a better choice than EL.
 

Hapana, hapana, hapana, Hukunielewa. I agree with most of the stuff you have wriiten, ndio vity ambavyo watanzania wanahitaji kwa leo hii. A strong leader with a vision. lakini bado nakataa kwa herufi kubwa choice yako.
 


Nimefurahi kuona kwamba una kumbu kumbu za events. Unafahamu alichokuwa anafanya mshikaji wako EL wakati anatembelea Mikoani/Wilayani/halmashauri? Behind the scenes??? Unajua ni kwa nini walikuwa wanamwogopa (ukiacha swala la yeye kuhakikisha kila anachoambiwa?????????))) Behind the scenes???? si unajua alivyoisuka TAMISEMI kwa ajili ya haya unayomsaidia kupigania hapa?
 
Wanazidi ujinga wako ww!!
 
Kwajkweli Elimu ya uraia bado inahitajika i conquer na wewe mtu kama alikua PM maana yake ndio kiongozi wa shughuli zote za serikali huwezi hata kidigo kumtenganisha EL na Richmond nadhan watu wanachojaribu kufanya ni kumsafisha Lowasa na Maji Taka na sidhan kama atasafishika .
 
Hivi hawa wanaotumwa kusafisha Lowasa wamelipwa shiling ngapi? Niwambie tu kwamba huwezi kumsafisha mtu kwakutumia maji taka maana hatosafishika utazidi kumchafua. EL alikua PM kwahiyo alikua kiongozi wa shughuli zote za serikali therefore huwezi kumtenganisha na Richmond wanaosema utajiri wake ni clean wafanye utafiti kidogo
 
Mfanyabiashara wa raslimali za Tz kwa leseni ya kuwa na madaraka serikalini.
 

we ndo ufanye utafiti nani akusaidie.kama umepewa hela na alshabab au boko haram zitumia kuweka maisha yako vizuri ili ubarikiwe zaidi kwa kuwa jamii itafaidi kwa njia nyingi na c kunywa gahwa na kucheza bao mwishowe wataku cameroon.lowasa is our next presdaa
 
He bwana wanaojitolea kumsafisha EL wana lawo jambo nadhan ni Mafisadi watarajiwa
 

enzi za landrover 110 gari za wabunge zilikuwa mali ya serikali. after hapo ndiyo walianza kukopeshwa. ila el ni mwizi na hafai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…