Mh. Funga basi hiyo nanihii....

Mh. Funga basi hiyo nanihii....

Mkuu inatia aibu bana. Tena huku anachekelea, sijui nini hii hawa magamba.
 
duh..huyu mfotoaji ameipiga hii picha kwa lengo maalum..
 
Mkuu inatia aibu bana. Tena huku anachekelea, sijui nini hii hawa magamba.

Akili inawaza pesa tu kaka, kama lilivyo jina lake la pili (middle name).
 
Hilo ni tatizo la kuvaa suluali ya zipu ukubwani!!
 
Kwanini Mheshimiwa alijisahau kiasi hiki?

..Picha hii ni ya zamani sana and sioni mantiki ya kuiweka hapa! it can happen to anybody including you or your daddy. the bottom line is that he is a human being so it is shameful for a great thinker to put such a photo it does not add any value !!
 
Sasa hiyo picha inasaidia nini hapa? Angepigwa Slaa mngeendelea kuiweka?
 
Huyu hakuacha kufunga zipu kwa makusudi ila ni kwa bahati mbaya tu na inaweza kutokea kwa kila mtu ikiwemo wewe uliyeanzisha habari hii
 
Hii picha ilishaletwa hapa siku nyingi kama 3 years ago.
sioni kama inatusaidia sana hapa.
 
Nyie vijana mbona hamuogopi kuwachungulia baba zenu.
 
Back
Top Bottom