Mh. Halima Mdee: Sifanyi Mapenzi Ya Jinsia Moja (Lesbianism)

Ng'wamapalala

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
6,811
Reaction score
6,503
Kupitia season mpya ya Clouds Fm, ndani ya 'So so fresh' na DJ Fetty, Mh Halima Mdee (Mbunge wa kwa - CHADEMA) amefunguka juu ya swali aliloulizwa kuhusu story zilizosambaa kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja. Yaani yeye ni Lesbian....Ona majibu yake....

"Aaah unajua huwezi kuzuia watu kusema, na mimi huwa sihangaiki na watu wanasema nini, lakini ukitaka kumjua Halima unaweza ukamchunguza kirahisi sana, kwa kumuangalia alipotoka, historia yake na mahusiano yake, ambayo mengine ni wazi sana watu walikuwa wanayajua, watu wanapenda ku speculate pale ambapo wanaona kitu ambacho hawati kuona,

"Sasa hilo swala lilishaandikwa sana, nadhani walioandika baadae wakaja kuomba radhi kwa sababu waligundua wameandika kitu kisicho sahihi, probably kutokana na sauti yangu you know, probably kutokana na tembea yangu, kwa sababu mimi nimekulia kwenye familia ya wanaume watupu umeona eeh..

"Mimi nimekuwa ni mpambanaji tokea utotoni, kwa sababu nimezungukwa na jeshi la kibabe, thats who i am, lakini mtu anaetaka kumjua Halima na ana uhuru tu. Hata akitaka niwatajie list ya watu wangu i can do that, lakini sidhani kama is their damn business, cause ma life is personal, na wakitaka kuchunguza wachunguze kwa mpango wao na watapata taarifa, kwa uhuru tu, na wanaweza wakatoa tangazo kwamba jamani watu waliowahi kuwa na uhusiano na huyu if any wajitokeze, watajitokeza kama wapo upande huo, watajitokeza kwa sababu sasa hivi si dunia huru banaaa"

Kwa hisani ya Michuzi blog.
 

Attachments

  • image.jpg
    4.7 KB · Views: 1,641
Kwa nini baadhi ya Watanzania wanapenda kujinasibisha kama hawajari na hawana tatizo kuwa na rafiki wa karibu au ndugu ambaye anasaga na anayesagwa ( Lesbian). Mara nyingi wengi utawasikia wakisema, 'I don't mind and it's non of my business', lakini pale swala hili linapokuwa linawahusu wao, mara zote wanatumia nguvu kubwa kukanusha na kujiweka pembeni kabisa. I DON'T GET IT. Unakuwa ni kama unafiki fulani.

Wakati mwingine huu msemo unaosema, 'lisemwalo sana lipo kama halipo basi linakuja' huwa unaniacha wazi kifikra hasa pale ninapokutana na maswala kama haya ambayo nguvu kubwa zinatumika kukanusha. Is it TRUE, lisemwalo sana lipo?.

Is lesbianism a CRIME in the eyes of the law of Tanzanian public opinion?.

Kwani watu wanapojitambua kutokana na maendeleo kifkra na kimtazamo katika sexual orientation wanafanya kosa?.

Kama siyo kosa kuwa heterosexual, kwa nini iwe ni kosa kuwa asexual, bisexual or homosexual?.
 
Uongo tu huo na hii ni kuchafuana kiaina tu.
 
Ng'wamapalala;6385194]Kwa nini baadhi ya Watanzania wanapenda kujinasibisha kama hawajari na hawana tatizo kuwa na rafiki wa karibu au ndugu ambaye anasaga na anayesagwa ( Lesbian). Mara nyingi wengi utawasikia wakisema, 'I don't mind and it's non of my business', lakini pale swala hili linapokuwa linawahusu wao, mara zote wanatumia nguvu kubwa kukanusha na kujiweka pembeni kabisa. I DON'T GET IT. Unakuwa ni kama unafiki fulani.

Wakati mwingine huu msemo unaosema, 'lisemwalo sana lipo kama halipo basi linakuja' huwa unaniacha wazi kifikra hasa pale ninapokutana na maswala kama haya ambayo nguvu kubwa zinatumika kukanusha. Is it TRUE, lisemwalo sana lipo?.

Is lesbianism a CRIME in the eyes of the law of Tanzanian public opinion?.

Kwani watu wanapojitambua kutokana na maendeleo kifkra na kimtazamo katika sexual orientation wanafanya kosa?.

Kama siyo kosa kuwa heterosexual, kwa nini iwe ni kosa kuwa asexual, bisexual or homosexual?.


you r advocating for such thngs,i wonder how u call 'em maendeleo na watu kujitambua,t seems like ur in,and jins ulivyowasilisha mada ni kama umekereka Mdee kusema kuwa she is nt,kama u thnk hayo(lesbianism na hayo mengne) ni maendeleo labda yatakuwa ni maendeleo ya kurud nyuma! Si kila ki2 ni maendeleo,kujibu swali lako,it is a crime,a natural crime,dnt thnk kila wanachofanya wazungu ni maendeleo.
 
If lesbianism is a crime, then the law is an ass. Law should not meedle in the private pleasures of consenting adults, heterosexual or otherwise.
 
Mie wala nisingejibu! Kama kuna anaenitaka aje anitongoze. Its none of our damned business for sure! Wanaowaruka ukuta wake zao nao mbona hawajustify kwenye media?
 
Hakuna jambo lililo kinyume na maadili likakubalika kisiasa, kilicho halali kisiasa hakitakiwi kiwe haramu kimaadili.
 
Nchi inayoendeshwa kwa majungu, ukiamka unawaza kumpakazi mtu, pole sana Halima.
Sasa naomba tuwasiliane basi, kwa kifupi "nakuzimikia:A S kiss:" muda mrefu, lakini sijaweza kupata connection.
 
Mkuu, I'm NOTHING. Sauti yangu wala haiwezi kuwa ni sauti ya nyikani achilia mbali kuwa ni sauti ya mtaani.

Kitu kinapoongelewa kwenye jamii mara nyingi huwa kipo au kinafanyika.

Swala la mimi kuwa IN or OUT wala lisikusumbue sana kama lisivyonisumbue kuhusiana na wewe kwa sababu haliwezi kubadilisha ukweli au uongo wa mada iliyoko mezani.

Is it a CRIME because LAW IS AN ASS or is a CRIME in the eyes of NATURAL LAW?
 
Hakuongelea zile computers atakazodonate kwa shuke za msingi? Manake hayo ndo yanatuhusu.


heshma yako king'ast....uko right kabisa even if she use water or tissue on toilet..haya2husu badala ya kujadili yanayotuhusu tunakaa kujadili personal life ya mtu..lol dats out of our damn issues,,..!!
 
Lol..,,Haters n Gossips everywhere then we call ourself Great Mind,,...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…