Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Ndo maana sikupendi, huwa si-justify ma private life in public
Hakutakiwa kujibu chochote zaidi ya kumyeyusha tu.
Kujibu saaana kuna-reveal mengine mapya.
Hakutakiwa kujibu chochote zaidi ya kumyeyusha tu.
Kujibu saaana kuna-reveal mengine mapya.
Mie wala nisingejibu! Kama kuna anaenitaka aje anitongoze. Its none of our damned business for sure! Wanaowaruka ukuta wake zao nao mbona hawajustify kwenye media?