Mh. Halima Mdee: Sifanyi Mapenzi Ya Jinsia Moja (Lesbianism)

Mh. Halima Mdee: Sifanyi Mapenzi Ya Jinsia Moja (Lesbianism)

Ndo maana sikupendi, huwa si-justify ma private life in public

Hakutakiwa kujibu chochote zaidi ya kumyeyusha tu.

Kujibu saaana kuna-reveal mengine mapya.

Mie wala nisingejibu! Kama kuna anaenitaka aje anitongoze. Its none of our damned business for sure! Wanaowaruka ukuta wake zao nao mbona hawajustify kwenye media?
 
mwacheni dada'ngu kwa taarifa yenu mie ameshanitambulisha shemeji yangu ni MALE rijali sekta zote.
 
nimesikia mliokuwa mnajadili nitawafikishia ujumbe, mak nilikuwa napita tu.
 
Binadamu wabaya jamani duh!Kusikia ile sauti yake kidume tayari wameshampachika kashfa ya U-lesbian.
 
huu ni ujinga kujibu ujinga na uta jibu mangapi wakati watanzania kila leo baada ya kukosa ajira midomo ina wawasha.
 
lakini mtu anaetaka kumjua Halima na
ana uhuru tu. Hata akitaka niwatajie list ya watu
wangu i can do that
Nimependa hapo tu.
 
Wapo wenye tabia hiyo na still wanemegwa!

Ninaushahidi!!
 
Wanao jadili maisha ya watu huonyesha wazi yao yamewashinda...
 
Nchi inayoendeshwa kwa majungu, ukiamka unawaza kumpakazi mtu, pole sana Halima.
Sasa naomba tuwasiliane basi, kwa kifupi "nakuzimikia:A S kiss:" muda mrefu, lakini sijaweza kupata connection.

du babuwaloliondo umepata chance ya kufunguka
 
Last edited by a moderator:
Mwachen Halima wa wa2..,,duh yote haya ni kukosa kaz na uduni wa fikra.....kila kukicha kudiscuss life ya wa2 lol em 2badilike haipendez,,..!!
 
Halafu sasa ukute watu wanaoeneza maneno kama hayo ni wale ambao hata kumjua hawamjui. Waja bana!

Waja wana shida kweli kweli, waja wametawaliwa na chuki, waja wanajifanya kuwafahamu watu kumbe wala hata hawawajui....Tanzania nimeivulia kofia kwa watu kujifanya wanawajua watu watu sana kuwaelezea
 
Unawashwa? I hate Mediocre in village night circus like you.

limemuuma hilo, ye si amesema lisemwalo lipo sasa mbona povu linamtoka? Ndo ajue si kila lisemwalo lipo.... nimechekaje ulivyompatia
 
Back
Top Bottom