Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Kwa hiyo mbunge halali tajiri anaongoza Ndesamburo.
Wakuu kwani si mtu anaweza kuwa na hela kwa kukopa?
Wakuu kwani si mtu anaweza kuwa na hela kwa kukopa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apart from Rostam nadhani the second richest mbunge Tanzania ni NDESAMBURO
Iddi Azan ana pesa za kubadilisha magari na maybe kusafiria Business Class and errm thats it!
ni kweli , mpaka sasa Ndesamburo aka Ndesa pesa naona yuko nyuma ya RA..............INGAWA HUYU RA utajiri wake unahusishwa na urithi wa baba zake na babu zake katika biashara ya Utumwa na Pembe za ndovu hapa Afrika Mashariki.
Ben kwani anakopa kwenda kufanyia mapenzi ama kuchezea pombe....,.hapa ni biashara yakukuza mtaji na kuingia kwenye biashara halali na kubwa kimataifa.Kwa hiyo mbunge halali tajiri anaongoza Ndesamburo.
Wakuu kwani si mtu anaweza kuwa na hela kwa kukopa?
Ben kwani anakopa kwenda kufanyia mapenzi ama kuchezea pombe....,.hapa ni biashara yakukuza mtaji na kuingia kwenye biashara halali na kubwa kimataifa.
katika maisha ya kisasa ya biashara ni ngumu sana kufanya biashara za billions of money bila kukopa, na kama itathibitika kua unazungusha mtaji mkubwa kiasi cha billion hata moja bila kukopa utatiliwa mashaka kama si muuza Unga basi unasafisha ela chafu toka kwa magaidi...., na huenda nnchi kama marekani wanaweza kuban biashara zako.
Masaki Nimrod anapesa pia, nabahati mbaya tunatumia hisia kwa kuangalia biashara ama mali zinazoonekana kwa macho.....Ndesa anamzidi Nimrod Mkono kwa utajiri? I dought!
ana magari gani huyo idd azan?? RR PHANTOM,MAYBACH,ENZO,ZONDA au ndio yaleyale akina RANGE ROVER,X5,Q7??
Masaki Nimrod anapesa pia, nabahati mbaya tunatumia hisia kwa kuangalia biashara ama mali zinazoonekana kwa macho.....
mzee Ndesa ni mfanya biashara mkubwa wa majumba ya kupangisha na mahotel hapa Afrika,
sasa je Nimrod Nkono anamiliki nini na anafanya biashara gani?
je Idd Azan anafanya biashara gani na anamiliki nini
Masaki ni sahihi,Mkuu pale Kariakoo kwenye yale maghorofa yanayoota kila siku kama uyoga hiyo pesa Wapemba wana bilioni kadhaa wanazizungusha kwenye biashara bila hata kukopa benki. Ni fiancial discipline tu mkuu......!!!
Ben kwani anakopa kwenda kufanyia mapenzi ama kuchezea pombe....,.hapa ni biashara yakukuza mtaji na kuingia kwenye biashara halali na kubwa kimataifa.
katika maisha ya kisasa ya biashara ni ngumu sana kufanya biashara za billions of money bila kukopa, na kama itathibitika kua unazungusha mtaji mkubwa kiasi cha billion hata moja bila kukopa utatiliwa mashaka kama si muuza Unga basi unasafisha ela chafu toka kwa magaidi...., na huenda nnchi kama marekani wanaweza kuban biashara zako.
Masaki ni sahihi,
ukitaka kujua namna sisi tulivyo waajabu, mtu anaenjoy kuwa na akaunti yenye hata billion Tano bila kuifanyia biashara ama kuingiza kwenye masoko ya mitaji.
Ndo maana nnchi ilitikisika baada ya kuambiwa Chenge anakabilion kake huko west Indies,
Wenzetu utajiri wao haupo kwenye Cash zaidi, upo kwenye mitaji, na kila faida inayopatikana mtu anawaza kumaximize.
Hebu fikiria unaingia chumbani kwa rafikio unamkuta ana pesa cash million mia nane ama bilion moja, utastuka.
Ukiwa na pesa halafu upo chama pinzani nayo pia ni heshima kubwa Tanzania. BRAVO Ndesapesa
thats right Masaki.Nadhani tunaongelea kitu kimoja ila tunashindwa kuelewana. Ninachosema mimi ni kwamba mtu mwenye financial discipline ya hali ya juu ana uwezo wa kufanya biashara na kuzungusha pesa yake mwenyewe bila kukopa benki. Biashara nyingi huwa zinateteleka sana zinapokopa benki kwani viwango vya riba ni vikubwa sana!
Kuna waraka wa ukurasa mmoja tu ambao Warren Buffer alitoa mwaka jana wakati wa ''credit crunch''. Mojawapo ya jambo alilosisitiza sana ni kuepuka mikopo kadiri inavyowezekana!
Pale Kariakoo watu wanafanya kazi usiku na mchana na wanauza kwa jumla kwa watu wa Zambaia, DRC, Malawi, Burundi na Rwanda! Waliotuliza akili sasa hivi ni mabilionea na hawana mikopo benki!
Nimrod Mkono ni Wakili wa kujitegemea na anamiliki kampuni kubwa kuliko zote za uwakili hapa Tanzania. Pia kampuni yake ina ubia na kampuni moja ya uwakili ya Uingereza kitu kinachomwongezea wigo wa kibiashara.
Pia Nimrod Mkono ni mmoja wa waanzilishi na wamiliki wa Bank M. Kuna wakati vyanzo visivyo rasmi sana vya habari viliwahi kubainisha kwamba ana NET WORTH ya USD 55m.
Unaweza kuniambia Ndesa anamiliki nyumba zipi/apartments/hotels zipi na kukadiria ukubwa wa biashara zake?
.....tuache uchumi.
Je ni upi utajiri wa Idd Azan. anamiliki ninini hasa.?
Kumbuka utajiri wa Mkono,ni mali ya wavuja jasho !Kumbuka pesa alizolipwa na BoT eti kwa ajili ya uwakili!!!Malegesi vilevile.
Kuwa na ubia UK sio deal sana,kumbukeni mawakili wa UK,walivyoshirikiana kuandika mikataba bomu,i mean sure hawa wenye ubia na Mkono UK,wanatarget kitu kimoja tu,resources za Tanzania!
Nafikiri wasomaji wa JF,hatuwezi kuwabrainiwash kama wanavijiji wenzetu mikoani na wilayani !