Mh. Iddi Azan anafanya biashara gani?

Mh. Iddi Azan anafanya biashara gani?

Langu kwa leo ni kutaka mnisaidie kufahamu, Mh. Iddi Azan mbunge wa Kinondoni anajushughulisha na biashara gani hadi kupelekea kumiliki vitu vingi vya thamani kubwa kama magari ya kifahari sana kuliko mbunge yeyote hapa Tanzania na hadi kulingana na wafanyabiashara wakubwa.

Huyu alihojiwa alafu akaachiwa ndani ya muda mfupi kutoka ile list ya Makonda
 
Back
Top Bottom