Mh. Iddi Azan anafanya biashara gani?

Mh. Iddi Azan anafanya biashara gani?

niliwauliza siku moja vijana wa popo bawa na migomigo magomeni kuhusu Idd Azan kama mbunge wao. nilishiba! Kafanye karesearch maeneo hayo utanyamaza mwenyewe.

Mkuu sasa usingeweka hiki kitu hapa kama hutaki kuwa wazi. Umefanya utafiti share nasi manake wengine wako mikioani so unawaacha acha tu hewani... Hapa ni where we dare to talk openly bwana.
 
Nadhani watanzania ni wajibu wetu kuacha kuangalia sana watu bila kujiangalia sisi,pia tuongee bila neno wivu bali tubase on facts tu...Kuna biashara nyingi mno watu wanafanya za ndani na nje na ni za halali tu,ni kuthubutu na kupata mkopo na mkopo kuleta matunda mazuri.tusiishie kujiuliza yule ana nini na kwanini,kwani ndani ya serikali sasa kuna kitengo maalum cha MONEY LAUNDERING,na sheria tunayo pia.watu wa usalama wapo wenye ujuzi na mabo ya fedha hata katika level ya chini huchunguza watumishi na mapato yao,na sasa pia watanzania wote.Tuwaachie wao saaana kama kwasababu wanajua how to treat such people..NINGEWAOMBA SANA hao wanausalama wawe wanatumia rumours na taarifa zozote na kumulika muuza madawa au biashara yoyote chafu,hatimae kuwatangaza na kuwafunga...ni aibu
 
hahahah Mkuu si unajua tena na Mpango wa SAGOT and Sister Mosanto!? analima mahindi Pakistan na Kuuza SA na China! wakati mwingine tukiwa na upungufu wa chakula huwa anauzia humu nchini kwa bei ya punguzo kwa amri ya Mkuu!
Ila sasa huyu Azani kazidi,naona anauza kwa jumla tu,lakini nasikia balozi wa Tanzania China ni balozi wa Azan pia kibishara na ndio maana aliyeandika barua kagwaya kutupia jina kuogopa assassination in cell???????????????
 
Mmh,hapo umemuweza kweli.Ngoja niwashauri wagombea watarajiwa wa Ubunge jimbo la kinondoni waje wajisomee wenyewe wapate pakuanzia.

Kweli kizuri hakidumu ''betating neva lastiooo''

RIP huko uliko kamanda wa ukweli, Wabunge wa CCM wanapiga dili za Druds huku dada, nchi imekuwa kichaka cha biashara ya unga. Tutaenzi fikra zako kwa kuyatia adabu haya MACCM 2015...
 
Hii kwa bongo haiwezekani labda mamtoni maana kumbuka wale askari/ ule mtandao waliotaka au uliotaka kumbambikizia ishu ya unga yule mtoto wa mzee mengi, toka kipindi kile hadi leo nani ni mkuu wa kitengo cha kuzuia madawa ya kulevya pale polisi? Ukiwezapata jibu then ni ngumu sana kwa mawazo yako mazuri kuweza kufanyika.
Uongozi wa nchi hii umelogwa na aliyeloga kashafariki hivyobasi ni ngumu kuuponyesha na ilikuondokana na hili tatizo ni bora mfumo mzima wa uongozi ung'olewe utupwe mbali sana.

Nadhani watanzania ni wajibu wetu kuacha kuangalia sana watu bila kujiangalia sisi,pia tuongee bila neno wivu bali tubase on facts tu...Kuna biashara nyingi mno watu wanafanya za ndani na nje na ni za halali tu,ni kuthubutu na kupata mkopo na mkopo kuleta matunda mazuri.tusiishie kujiuliza yule ana nini na kwanini,kwani ndani ya serikali sasa kuna kitengo maalum cha MONEY LAUNDERING,na sheria tunayo pia.watu wa usalama wapo wenye ujuzi na mabo ya fedha hata katika level ya chini huchunguza watumishi na mapato yao,na sasa pia watanzania wote.Tuwaachie wao saaana kama kwasababu wanajua how to treat such people..NINGEWAOMBA SANA hao wanausalama wawe wanatumia rumours na taarifa zozote na kumulika muuza madawa au biashara yoyote chafu,hatimae kuwatangaza na kuwafunga...ni aibu
 
Langu kwa leo ni kutaka mnisaidie kufahamu, Mh. Iddi Azan mbunge wa Kinondoni anajushughulisha na biashara gani hadi kupelekea kumiliki vitu vingi vya thamani kubwa kama magari ya kifahari sana kuliko mbunge yeyote hapa Tanzania na hadi kulingana na wafanyabiashara wakubwa.

Hakiak JF ni kisima cha kumbukumbu...Ona sasa thread ya mwaka 2010 leo hii ukweli ndo umeedhirika....Shame on you CCM , sheme on you Idd Azan....
 
EDUCATION
[TABLE="class: items, width: 767"]
[TR]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]LOCATION[/TH]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]COURSE/DEGREE/AWARD[/TH]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]START DATE[/TH]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]END DATE[/TH]
[TH="bgcolor: #E5D8F4"]LEVEL[/TH]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: #ECFBD4"]
[TD]Dar City College[/TD]
[TD]Diploma (Management)[/TD]
[TD]2004[/TD]
[TD]2005[/TD]
[TD]DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #F8F8F8"]
[TD]Local Government Training Institute - Hombolo, Dodoma[/TD]
[TD]Certificate[/TD]
[TD]2003[/TD]
[TD]2004[/TD]
[TD]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: #E5F1F4"]
[TD]Eastern & Southern African Management Institute (ESAMI)[/TD]
[TD]Certificate[/TD]
[TD]2002[/TD]
[TD]2004[/TD]
[TD]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #F8F8F8"]
[TD]Institute of Adult Education - Dar es Salaam[/TD]
[TD]Secondary Education[/TD]
[TD]2002[/TD]
[TD]2003[/TD]
[TD]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: #E5F1F4"]
[TD]University Computer Centre[/TD]
[TD]Certificate in Computer Course[/TD]
[TD]2001[/TD]
[TD]2001[/TD]
[TD]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: #F8F8F8"]
[TD]Magomeni Primary School[/TD]
[TD]Primary Education[/TD]
[TD]1977[/TD]
[TD]1979[/TD]
[TD]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: #E5F1F4"]
[TD]Vuluni Primary School, Mombo[/TD]
[TD]Primary Education[/TD]
[TD]1973[/TD]
[TD]1976[/TD]
[TD]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Majina haya rahisi sana kuyachanganya! naona hapo juu mkuu ulikuwa na maana juu yake !!!!!!!
Mkuu mbona umeishtukia hiyo haraka haraka! Anataka kukuingiza kwenye biashara kijanja he he he!
 
Langu kwa leo ni kutaka mnisaidie kufahamu, Mh. Iddi Azan mbunge wa Kinondoni anajushughulisha na biashara gani hadi kupelekea kumiliki vitu vingi vya thamani kubwa kama magari ya kifahari sana kuliko mbunge yeyote hapa Tanzania na hadi kulingana na wafanyabiashara wakubwa.

Si umeshaambiwa anafanya biashara ya madawa ya kulevya? Unataka nani tena aseme ili uelewe? Wamekuambia wazi kabisa kwamba pia kuna uhusiano wa moja kwa moja na watendaji katika vyombo vya dola na serikali. Na kwa akili ya kawaida unagundua ni kwa nini wanalazimisha kuingia bungeni kwa gharana yoyote. Na kwa unafiki wanajifanya wafadhili katika sehemu mbali mbali huku wakihujumu uchumi wa taifa na maisha yetu. Wewe unataka nini tena?

Mimi napita tu. Nisije nikang'olewa pua na macho kwa kutumia mkasi wa kufungia viroba sijui vifuko vya hizo bangi.
 
Tabby angali uzi wa JoJiPoJi ni wa lini kaka??......... huyu member alishastuka toka kitambo juu ya iddi azan
 
Last edited by a moderator:
images

Huyu juu ndiye Idd Azan

zunguu.jpg

Mussa Azan Zungu
 
Back
Top Bottom