EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,100
Nimekuwa nafuatilia post nyingi sana humu kwenye haka ka sub forum ka MMU. Nimegundua kitu, post nyingi zinazotolewa na wasichana/wanawake kutafuta wapenzi/wachumba au waume zimekuwa zinapata comments nyingi sana tofauti na za wanaume ambazo mara nyingine hukosa kabisa hata comment moja pamoja na kuwa ziko nyiiingi.
Jamani eeeh wapeni moyo na wanaume basi ili wasijekata tamaa
Jamani eeeh wapeni moyo na wanaume basi ili wasijekata tamaa