Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Mmmmh, huyo muuza matunda aliangia fron au back??
Tunamuongelea mlimbwende mmoja hivi, kila akipita mtaani lazima watu wageuze shingo kumwangalia. Nakumbuka muuza matunda alimwaga matunda yake siku moja alipokuwa anamtolea mimacho mpaka akajikwaa