Hahahahaaa mkuu unaweka picha yako au blu print ya yule unayemtaka?
Naweka picha yangu kuwa natafuta na mwenye nia aje
Maana kuweka picha ya ninayemtafuta haisaidiii naweka ya kwangu wajue kuwa niko serious na namwaga CV yangu yote
Hahahahaaaa mkuu hiyo itakuwa soooooooo innovative, hop we hawatakuchunia au sijui huwa wanaenda pm hawataki tuone hapa!Naweka picha yangu kuwa natafuta na mwenye nia aje
Maana kuweka picha ya ninayemtafuta haisaidiii naweka ya kwangu wajue kuwa niko serious na namwaga CV yangu yote
Kaunga naitengeneza mbaya kabis ana VC naipamba kwa maneno yote yanayojulikanaUsiache kutumia adobe photo shop ili uiblur iwe kama za kina kanumba kwenye makasha ya dvd.
M'Jr mi PM nitakuwa nazianika zote nijue wangapi wametuma offer na wangapi wameuchunaHahahahaaaa mkuu hiyo itakuwa soooooooo innovative, hop we hawatakuchunia au sijui huwa wanaenda pm hawataki tuone hapa!
Wanawake watakuwa wanaPM, hawataki matangazo.
Yule kaka wa usalama wa taifa mwenye jina gumu gumu, si alishaanika na akasort out a no of candidate (wa DOM, MZA & DSM), so nakubaliana na aliyesema hapo juu, wanawake watakuwa wanajibu kwa vitendo (PM) na si bla bla za open space.
Mwenyewe nishajibu kwa PM kama mara 32 hivi, na zote nimetolewa nje!
Hahahahaaa watu wanaogopa hicho kilemba wanahisi lazima utakuwa mwanaharakati tuYule kaka wa usalama wa taifa mwenye jina gumu gumu, si alishaanika na akasort out a no of candidate (wa DOM, MZA & DSM), so nakubaliana na aliyesema hapo juu, wanawake watakuwa wanajibu kwa vitendo (PM) na si bla bla za open space.
Mwenyewe nishajibu kwa PM kama mara 32 hivi, na zote nimetolewa nje!
Nimekuwa nafuatilia post nyingi sana humu kwenye haka ka sub forum ka MMU. Nimegundua kitu, post nyingi zinazotolewa na wasichana/wanawake kutafuta wapenzi/wachumba au waume zimekuwa zinapata comments nyingi sana tofauti na za wanaume ambazo mara nyingine hukosa kabisa hata comment moja pamoja na kuwa ziko nyiiingi.
Jamani eeeh wapeni moyo na wanaume basi ili wasijekata tamaa