Mh..........interesting!

Naweka picha yangu kuwa natafuta na mwenye nia aje
Maana kuweka picha ya ninayemtafuta haisaidiii naweka ya kwangu wajue kuwa niko serious na namwaga CV yangu yote

wewe si una mke na mtoto, btw kichanga usha mzibua maskio?
 
kazi ipo basi nafikiri ni jins wanavyoeka mabandiko tu mkuu mbona wadada huwa wanaweka mabandiko yanayoeleweka vizuri sana ? nafikiri Kaunga kosa liko kwenye mabandiko yao tu ila wanajamvi hatuko bias bana
 
Last edited by a moderator:
wanawake wana maneno ya kumta nyoka uvunguni.
 
Nadhani wanawake wengi huPM direct kama wako interested.
 
Kaunga nakumiss kweli sijui kwa nin ma-dear.

Nipo my dearest, mambo yalinitinga kidogo; l am coming back mdogo mdogo.

Pole na kuuguza, nami nilikuwa na mgonjwa Mwaisela ila Mungu amemchukua @94yrs.
 
Last edited by a moderator:
Nipo my dearest, mambo yalinitinga kidogo; l am coming back mdogo mdogo.

Pole na kuuguza, nami nilikuwa na mgonjwa Mwaisela ila Mungu amemchukua @94yrs.

thanks ma dear,kid anaendela vyema sana. Pole sana kwa msiba mpenzi
 
thanks ma dear,kid anaendela vyema sana. Pole sana kwa msiba mpenzi

Asante, tunamshukuru Mungu kwa maisha ya granny wetu humu duniani. 94 ni namba kubwa hivyo tunakila sababu ya kushukuru.

I am glad kiddo anarecover vizuri.
 
Asante, tunamshukuru Mungu kwa maisha ya granny wetu humu duniani. 94 ni namba kubwa hivyo tunakila sababu ya kushukuru.

I am glad kiddo anarecover vizuri.
thanks ma swthrt, gdnt.
 
Wanawake wanawafuata kimya kimya PM
 
Nyie wawili, mnamwongelea nani??
Tunamuongelea mlimbwende mmoja hivi, kila akipita mtaani lazima watu wageuze shingo kumwangalia. Nakumbuka muuza matunda alimwaga matunda yake siku moja alipokuwa anamtolea mimacho mpaka akajikwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…