Tunamuongelea mlimbwende mmoja hivi, kila akipita mtaani lazima watu wageuze shingo kumwangalia. Nakumbuka muuza matunda alimwaga matunda yake siku moja alipokuwa anamtolea mimacho mpaka akajikwaa
Aliangalia kuanzia front akazungusha shingo kama feni mpaka back na ndipo alipojikwaa maana alikuwa anelekea upande tofauti na anaoangalia. Alichanganywa zaidi na ki "Ayumi" nafikiri