Mh. Jaji Mkuu wa Tanzania: Kemea haya yanayojiri kwenye muhimili wa mahakama

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Mh. Jaji Mkuu, mhimili wa mahakama pole pole unajenga tabia ya mahakimu na baadhi ya majaji kupuuza sheria na kuwanyima watu dhamana. Tabia hujengwa na ISIPOKEMEWA HUOTA MIZIZI NA IKASHIKA. Ndicho kinachounyemelea muhimili wako, kama hakijajichimbia!
Ni masikitiko kuwa hujatoa tamko la kukemea haya tunayoyaona. Kuna sababu gani ya kumnyima Sugu dhamana?
2. Serikali kupuuza maamuzi halali ya mahakama. Uovu huu unaota mizizi. Mfano mzuri ni ubomoaji wa nyumba Kimara. Tulitegemea utoe kauli angalau ya kuonya, pamoja na kuwa utapuuzwa, lkn umetoa kauli. Kauli huumba! Kauli yako inaweza kuumba.

Jaji Mkuu Maraga wa Kenya, amekemea, ingawa atapuuzwa lkn itakuwa imewekwa kwenye maandishi na historia.

Kenya's chief justice David Maraga warns government to respect the law

upload_2018-2-8_15-56-36.png

By AFP | Published: 07th February 2018 08:57 PM |

Last Updated: 07th February 2018 08:57 PM |

NAIROBI: Kenya's chief justice on Wednesday criticised the government's recent defiance of a series of court orders -- actions that he said "threaten the rule of law."

In a rare public statement, David Maraga -- who rose to international attention last September when he annulled Kenya's presidential election -- warned that government's refusal to comply with various court orders over the last week undermined the constitution.

"In the last few days there have been worrying developments in the administration of justice that threaten the rule of law," Maraga said.

"The recent disregard of court orders is an act that is not only inimical to the rule of law but is also completely at odds with Kenya's constitutional outlook."

"Compliance with court orders is not an option for any individual or institution. Neither is it a favour to be doled out to the Judiciary. Rather, it is a crucial matter of constitutional and civic obligation," he said.
 
View attachment 692605

Jaji maraga wa bongo kawekwa ...kwenye kiti na Ngosha...na aliyemnyima zamana sugu ni ngosha what's do you expect?
 
Kuna mtu mmoja anaitwa Baron de monster huyu alizungumzia hio kitu kuwa alichokiamini ni kuwa kila muhimili ujitegemee kwa Tanzania hii mihimili huwa inashirikiana
Mfano
.waziri ni muhimili wa serekali lakini anaingia kwenye bungeni kama mbunge na bunge ni muhimili mwingine na anaulizwa mswali ya hapo kwa hapo
.raisi ni muhimili wa serekali humteua na kumwapisha jaji ambae ni muhimili mwingi.
 
Tatizo la Mahakama ya tanzania ni kuingiliwa na serikali. Amini nakwambia mahakimu hawa sio wajinga kiasi hiki au wanajitoa ufahamu, hapana. Serikali inao mkono wake.

Nina mifano mingi hai ambayo serikali kupitia maafisa wake wamewafuata moja kwa moja mahakimu na majaji kushinikiza kitu fulani au kutolewe uamuzi fulani kwa manufaa ya watu binafsi au taasisi za serikali. hata jaji mkuu analifahamu hili, na amekaa kimya kwenye hii inshu kwa sababu anaujua ukweli.

Nitarudi
 
Na mbeya inaweza chafuka zaidi kama hawajui.Japo imefichwa na vyombo vya habari Lakini ni wazi kuwa watu wamesukumana sana na polisi mbeya.Kuna clips watu wanaongea wazi wazi bila kuficha,aisee when people become tired.

"Hata buibui hung'ata"

Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana, taifa limegawanyika kabisa.
 
Imefichwa lakini insta tumeinyaka
 
Tatizo la Mahakama ya tanzania ni kuingiliwa na serikali. Amini nakwambia mahakimu hawa sio wajinga kiasi hiki au wanajitoa ufahamu, hapana. Serikali inao mkono wake.

Nina mifano mingi hai ambayo serikali kupitia maafisa wake wamewafuata moja kwa moja mahakimu na majaji kushinikiza kitu fulani au kutolewe uamuzi fulani kwa manufaa ya watu binafsi au taasisi za serikali. hata jaji mkuu analifahamu hili, na amekaa kimya kwenye hii inshu kwa sababu anaujua ukweli.

Nitarudi
Dragoon, sasa nini kifanyike? For how long are we going to continue with this bizarre situation?
Vipi naona ile thread yetu pendwa umeisusa.. Legal documents...
 
1. Mh. Jaji Mkuu, mhimili wa mahakama pole pole unajenga tabia ya mahakimu na baadhi ya majaji kupuuza sheria na kuwanyima watu dhamana. Tabia hujengwa na ISIPOKEMEWA HUOTA MIZIZI NA IKASHIKA. Ndicho kinachounyemelea muhimili wako, kama hakijajichimbia!
Ni masikitiko kuwa hujatoa tamko la kukemea haya tunayoyaona. Kuna sababu gani ya kumnyima Sugu dhamana?
2. Serikali kupuuza maamuzi halali ya mahakama. Uovu huu unaota mizizi. Mfano mzuri ni ubomoaji wa nyumba Kimara. Tulitegemea utoe kauli angalau ya kuonya, pamoja na kuwa utapuuzwa, lkn umetoa kauli. Kauli huumba! Kauli yako inaweza kuumba.

Jaji Mkuu Maraga wa Kenya, amekemea, ingawa atapuuzwa lkn itakuwa imewekwa kwenye maandishi na historia.

Kenya's chief justice David Maraga warns government to respect the law

View attachment 692605
By AFP | Published: 07th February 2018 08:57 PM |

Last Updated: 07th February 2018 08:57 PM |

NAIROBI: Kenya's chief justice on Wednesday criticised the government's recent defiance of a series of court orders -- actions that he said "threaten the rule of law."

In a rare public statement, David Maraga -- who rose to international attention last September when he annulled Kenya's presidential election -- warned that government's refusal to comply with various court orders over the last week undermined the constitution.

"In the last few days there have been worrying developments in the administration of justice that threaten the rule of law," Maraga said.

"The recent disregard of court orders is an act that is not only inimical to the rule of law but is also completely at odds with Kenya's constitutional outlook."

"Compliance with court orders is not an option for any individual or institution. Neither is it a favour to be doled out to the Judiciary. Rather, it is a crucial matter of constitutional and civic obligation," he said.
Inaonekana umekuwa retired kama jina lako na umepitwa na matukio mengi ya wiki ya sheria.
Jaji Mkuu kafanya mengi ndani ya muda mfupi.

Wakati akitoa tamko la ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya sheria ambayo kilele chake kilikuwa tarehe 1 Feb 2018, Jaji Mkuu alitoa kauli kali sana kuhusu serikali kuingilia maamuzi ya mahakama.
Na akawaonya dhidi ya wanaopuuza amri za mahakama na kusema wazi kuwa atawashughulikia.

Na kuhusu hili la dhamana tarehe 2 Feb 2018 jopo la majaji wa mahakama ya Rufani katika kesi ya kikatiba Mtobesya (mtanisamehe kama nimekosea jina) walifuta vifungu vya sheria ambavyo DPP alikuwa anatumia kuwanyima dhamana watuhumiwa.
Hilo ni pigo kubwa dhidi ya wanyanyasaji.

Kuna kifungu kingine cha sheria ambacho ninatamani sana kifutwe. Kuna uhuni flank polisi huwa wanafanya.
Wanavizia na kuwakamata watuhumiwa getini mara tu baada ya mahakama kuwaachia huru.
Hiyo ni dharau kubwa kwa mahakama na unyanyasaji wa hali ya juu.
 
Mimi sio mchochezi lakini kilichotokea Mbeya jana kinaweza kutokea Tanzania nzima
Watu wakiona kuwa wananyimwa haki huidai kwa nguvu bila kujali dhamana.
Sababu iliyotumika kumnyima sugu dhamana inashangaza sana.
 
Inaonekana umekuwa retired kama jina lako na umepitwa na matukio mengi ya wiki ya sheria.
Jaji Mkuu kafanya mengi ndani ya muda mfupi.

Wakati akitoa tamko la ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya sheria ambayo kilele chake kilikuwa tarehe 1 Feb 2018, Jaji Mkuu alitoa kauli kali sana kuhusu serikali kuingilia maamuzi ya mahakama.
Na akawaonya dhidi ya wanaopuuza amri za mahakama na kusema wazi kuwa atawashughulikia.

Na kuhusu hili la dhamana tarehe 2 Feb 2018 jopo la majaji wa mahakama ya Rufani katika kesi ya kikatiba Mtobesya (mtanisamehe kama nimekosea jina) walifuta vifungu vya sheria ambavyo DPP alikuwa anatumia kuwanyima dhamana watuhumiwa.
Hilo ni pigo kubwa dhidi ya wanyanyasaji.

Kuna kifungu kingine cha sheria ambacho ninatamani sana kifutwe. Kuna uhuni flank polisi huwa wanafanya.
Wanavizia na kuwakamata watuhumiwa getini mara tu baada ya mahakama kuwaachia huru.
Hiyo ni dharau kubwa kwa mahakama na unyanyasaji wa hali ya juu.
You can make your points understood without using derogatory terms like the one you have used in your opening sentence. I can assure you I am smart than you can think of me! Sijapenda opening sentence yako, and I refrain from making further discussion with you! I am irritated!
 
Attachments

Pole sana.
Nisamehe kwa kukukwaza.
Haikuwa dhamira yangu.
 
You can make your points understood without using derogatory terms like the one you have used in your opening sentence. I can assure you I am smart than you can think of me! Sijapenda opening sentence yako, and I refrain from making further discussion with you! I am irritated!
Mkuu msamehe bure,
Harakati zmekuwa more charged hadi cheche (Opening sentence).
 
1. Mh. Jaji Mkuu, mhimili wa mahakama pole pole unajenga tabia ya mahakimu na baadhi ya majaji kupuuza sheria na kuwanyima watu dhamana. Tabia hujengwa na ISIPOKEMEWA HUOTA MIZIZI NA IKASHIKA. Ndicho kinachounyemelea muhimili wako, kama hakijajichimbia!
Ni masikitiko kuwa hujatoa tamko la kukemea haya tunayoyaona. Kuna sababu gani ya kumnyima Sugu dhamana?
2. Serikali kupuuza maamuzi halali ya mahakama. Uovu huu unaota mizizi. Mfano mzuri ni ubomoaji wa nyumba Kimara. Tulitegemea utoe kauli angalau ya kuonya, pamoja na kuwa utapuuzwa, lkn umetoa kauli. Kauli huumba! Kauli yako inaweza kuumba.

Jaji Mkuu Maraga wa Kenya, amekemea, ingawa atapuuzwa lkn itakuwa imewekwa kwenye maandishi na historia.

Kenya's chief justice David Maraga warns government to respect the law

View attachment 692605
By AFP | Published: 07th February 2018 08:57 PM |

Last Updated: 07th February 2018 08:57 PM |

NAIROBI: Kenya's chief justice on Wednesday criticised the government's recent defiance of a series of court orders -- actions that he said "threaten the rule of law."

In a rare public statement, David Maraga -- who rose to international attention last September when he annulled Kenya's presidential election -- warned that government's refusal to comply with various court orders over the last week undermined the constitution.

"In the last few days there have been worrying developments in the administration of justice that threaten the rule of law," Maraga said.

"The recent disregard of court orders is an act that is not only inimical to the rule of law but is also completely at odds with Kenya's constitutional outlook."

"Compliance with court orders is not an option for any individual or institution. Neither is it a favour to be doled out to the Judiciary. Rather, it is a crucial matter of constitutional and civic obligation," he said.

Ukiangalia kwa umakini ni kwamba kuna mahali kama watanzania hatujitendei haki sisi wenyewe!Hebu tujiulize ni lini na wapi tuliamua kwa umoja wetu kuwashtaki hawa watesi kwa maovu watutendeayo?Hivi tunauoga gani wakutetea haki zetu?Ni kweli tumeridhika?Kwanini tulalamike?Njia ni moja tujikusanye na kuamua kuishtaki serikali kwa kukiuka haki zetu za msingi kabisa.

Kuna issue ya masaa48 toka Mbowe aipeleke mahakamani mpaka leo haijasikilizwa nahisi ilishatupiliwa mbali sabbau ya uoga wa Hakimu.Wanasheria wanawekwa ndani na wakuu wa mikoa/wilaya haoni shida ya kutuelekeza cha kufanya ili tujikomboe na hawa maharamia.

Ndugu yangu Jaji Mkuu yuko mezani na mfalme hawezi kufurukuta labda siku akiretire,ni wajibu wetu kujitetea tusitegemee hawa wateuliwa hata siku moja
 
Inaonekana umekuwa retired kama jina lako na umepitwa na matukio mengi ya wiki ya sheria.
Jaji Mkuu kafanya mengi ndani ya muda mfupi.

Wakati akitoa tamko la ufunguzi wa maadhimisho ya wiki ya sheria ambayo kilele chake kilikuwa tarehe 1 Feb 2018, Jaji Mkuu alitoa kauli kali sana kuhusu serikali kuingilia maamuzi ya mahakama.
Na akawaonya dhidi ya wanaopuuza amri za mahakama na kusema wazi kuwa atawashughulikia.

Na kuhusu hili la dhamana tarehe 2 Feb 2018 jopo la majaji wa mahakama ya Rufani katika kesi ya kikatiba Mtobesya (mtanisamehe kama nimekosea jina) walifuta vifungu vya sheria ambavyo DPP alikuwa anatumia kuwanyima dhamana watuhumiwa.
Hilo ni pigo kubwa dhidi ya wanyanyasaji.

Kuna kifungu kingine cha sheria ambacho ninatamani sana kifutwe. Kuna uhuni flank polisi huwa wanafanya.
Wanavizia na kuwakamata watuhumiwa getini mara tu baada ya mahakama kuwaachia huru.
Hiyo ni dharau kubwa kwa mahakama na unyanyasaji wa hali ya juu.
Alikuwa anakemea upande wa pili sio serekali iliyompa huo ujaji tamko lile lilikuja baada ya sugu kumkataa hakimu ukiangalia ile kauli yake ilikuwa na ukakasi
 
One man show ukimiliki nyumba ya baba mkwe sawasawa na kukalia ncha ya kisu uzuri wake mbegu hii ita germinate hata kwa wajukuu zao KARMA
 
Back
Top Bottom