- Thread starter
- #21
Uko sahihi, mahakimu waoga, wanategemea Ujaji, uwezekano ni mkubwa kumsikiliza Mteuzi wake. Lisu yuko wapi? Ana uthubutu na lazima kuwe na wa kuthubutu. Hawa wanasheria kama akina Mtobesya na kifungu cha 148 (?)..Ukiangalia kwa umakini ni kwamba kuna mahali kama watanzania hatujitendei haki sisi wenyewe!Hebu tujiulize ni lini na wapi tuliamua kwa umoja wetu kuwashtaki hawa watesi kwa maovu watutendeayo?Hivi tunauoga gani wakutetea haki zetu?Ni kweli tumeridhika?Kwanini tulalamike?Njia ni moja tujikusanye na kuamua kuishtaki serikali kwa kukiuka haki zetu za msingi kabisa.
Kuna issue ya masaa48 toka Mbowe aipeleke mahakamani mpaka leo haijasikilizwa nahisi ilishatupiliwa mbali sabbau ya uoga wa Hakimu.Wanasheria wanawekwa ndani na wakuu wa mikoa/wilaya haoni shida ya kutuelekeza cha kufanya ili tujikomboe na hawa maharamia.
Ndugu yangu Jaji Mkuu yuko mezani na mfalme hawezi kufurukuta labda siku akiretire,ni wajibu wetu kujitetea tusitegemee hawa wateuliwa hata siku moja
Angalia hawa wa Philippines, wamejitoa.
08 February 2018 - 15H51
ICC probing alleged crimes in Philippines, Venezuela
- The unprecedented decision to launch two inquiries at once comes after ICC prosecutor Fatou Bensouda was petitioned by opposition leaders from the two countries, accusing their hardline governments of crimes against humanity.