Mh. James Mbatia asifu uchaguzi wa Kenya

Mh. James Mbatia asifu uchaguzi wa Kenya

Hamna neno, basi sasa NASA wapeleke hii stakabadhi kotini. Lakini sasa wamekataa kwenda kotini so sijui kutakuwaje. Najuwa pia walileta stakabadhi zingine kwa IEBC lakini hizo stakabadhi zao IEBC ilisema ni fake na wakaonyesha tofauti ya original na fake. Ushauri wangu mimi kwa NASA ni wajaribu kufuatilia mpango wa kwenda kotini kama walivyofanya mara ya mwisho na walisikizwa.

Tatizo wakati huu internet itafurika na stakabadhi ghushi, documents watu wanatengeneza na kuzionyesha kwenye mitandao ya kijamii.
 
Tatizo wakati huu internet itafurika na stakabadhi ghushi, documents watu wanatengeneza na kuzionyesha kwenye mitandao ya kijamii.

MK254,
Michango yako ''comments'' katika uzi huu kwa hakika umejaa hoja za ki- JamiiForums na kufanya mtandao huu wa kijamii Afrika Mashariki kuendelea kuwa kisima cha kujenga hoja na majadiliano ya kina kuhusu zoezi hili la upigaji kura na matokeo yaliyoratibiwa na IEBC- Kenya kueleweka kwa undani bila hoja za ''kishabiki''.
 
Kenya Human Rights Commission De registered

August 14, 2017 (2 days ago) 6:25 pm
By OLIVE BURROWS, NAIROBI, Kenya, Aug 14 – The NGOs Co-ordination Board has deregistered the Makau Mutua chaired Kenya Human Rights Commission for tax evasion among other reasons.
Fazul deregisters Mutua’s KHRC as it readied to launch presidential petition

Board Executive Director Fazul Mahamed, in a notice to the NGO, states they owe Sh100 million in statutory taxes and has advised the Central Bank Governor Patrick Njoroge to freeze their accounts.

lg.php

Fazul has also accused the KHRC of making false declaration on its annual returns making it difficult to ascertain if Sh1.2 billion it received was used for the intended purpose.

“Kenya Human Rights Commission financial statements do not give a true and fair view of their financial position as of October 4, 2016 and subsequently it cannot be ascertained that the Sh1.2 billion received by the organisation during the same period is fully accounted for.”

The KHRC also stands accused of having foreigners, without valid work permits, in its employment and of concealing illegal remuneration to its board members.

KHRC Executive Director George Kegoro has however told Capital FM News that the deregistration is a “political attack,” with Fazul being used by government as a hatchet man to prevent it from filing a presidential petition in the Supreme Court.

Mutua, a law professor based in the United States, on Saturday restated the position he took on the election of President Uhuru Kenyatta in 2013. “The SINS of 2013 have been COMPOUNDED. That’s why as a matter of my CONSCIENCE I CAN’T – and WON’T – RECOGNIZE Uhuru Kenyatta as President.”

Another notable member of the KHRC board is Maina Kiai who was among those who petitioned the courts to find that the presidential election results as announced at the constituency level, to be final – a position that was contrary to that taken by the ruling party Jubilee.

Other board members are Muthoni Wanyeki, Davinder Lamber, Godwin Murunga and Father Gabriel Dolan.

The KHRC which was registered in Kenya in January of 1994 was formed by Mutua, Kiai, former Chief Justice Willy Mutunga, Meru governor-elect Kiraitu Murungi and Professor Peter Kareithi back in 1991while they were in exile in the United States.

KHRC becomes the latest NGO, viewed as sympathetic to the Opposition, to find itself in Fazul’s cross hairs.

Only recently the Kalonzo Foundation and Rosemary Odinga’s foundation have had their operations called into question by the Fazul run NGOs Co-ordination Board.

Fazul has himself come under attack on numerous occasions with his qualifications and conduct as the Board Executive Director being called into question with demands that he be removed from office
Source: Fazul deregisters Mutua's KHRC as it readied to launch presidential petition » Capital News
 
August 15, 2017
Nairobi, Kenya
Vikundi Haramu wavamia wakazi wa mitaa ya masikini Nairobi
Mitaa ya Huruma, Kibera na Kibra

Source: KTK News Kenya
 
Hii ndo original unayo ongelea?? Kuwa IEBC walionyesha. Next time don't play with our mind. Sio kila mtu nimpumbavu. Msije hata sikumoja mkasema kuna nchi hapa Africa yenye democrasy. Never say that. Nahakuna chakujifunza hapo Kenya. Mimi huyo Mbatia nisingependa kumchana sana. Ila muulize ile ofisi yake pale vunjo ina nini cha maana kama isingekuwa yeye kujiunga na Ukawa. Asijidanganye na gorofa aliyo jenga huko vunjo.Abaki na tenzi zake.

FRAUD DETECTED a handwritten Form 34A is discovered on the official IEBC portal for ElWak South polling centre, Bulla Dadacha polling station 02, Mandera Constituency. Cooked results.View attachment 567016
Sijui original ilikuwaje. Kile najuwa ni kwamba IEBC walionyesha tofauti ya original na fake na NASA walinyamaza na hawakufuatilia swala hilo tena.....
 
UN skirts Raila Odinga's vote analysis call


A United Nations spokesman on Monday declined to accept Raila Odinga's request for a UN review of the August 8 election results.

Spokesman Farhan Haq reiterated Secretary-General Antonio Guterres' recent statement urging Kenyan political leaders to bring election-related disputes to “the relevant constitutionally mandated institutions.”

REMARKS

That formulation suggests that the UN is unlikely to carry out the election analysis Mr Odinga proposed in an interview last week with London's Financial Times.

Mr Haq added at a press briefing that the UN will monitor Mr Odinga's expected remarks on Tuesday.

The Washington Post meanwhile added its voice to the chorus of commentators hailing the election as free and fair.

UN skirts Raila's vote analysis call
 
Sijui original ilikuwaje. Kile najuwa ni kwamba IEBC walionyesha tofauti ya original na fake na NASA walinyamaza na hawakufuatilia swala hilo tena.....
Hoja yangu nikwamba IEBC ilifanya wizi ambao EA hakuna nchi imewahi fanya wizi wakiwango kile. Msitufanye mazuzu humu kenge kweli. Ukimia wa NASA sio kwamba hawana evidence. Ujinga wako unaotaka tuuwamini humu ndo na IEBC wanataka tuwaamini.You guys and IEBC are like pigs. You want us to join in that mad in which your playing. Fool!! Thank you NASA for being smart. Sometimes silence is better than talking.

BREAKING NEWS: IEBC Commissioner Roselyn Akombe arrested at the JKIA before leaving the Country BREAKING NEWS: IEBC Commissioner Roselyn Akombe arrested at the JKIA before leaving the Country - The Kenyan Digest … via @Kenyan_Digest

IEBC Commissioner Roseline Akombe was last night removed from the plane while heading to the U.S., she was held in custody over the night. Jubilee uncomfortable with her travel perhaps fearing she might spill the bean on the rigging that happened at Bomas.
IMG_20170816_133121.jpg
 
Hoja yangu nikwamba IEBC ilifanya wizi ambao EA hakuna nchi imewahi fanya wizi wakiwango kile. Msitufanye mazuzu humu kenge kweli. Ukimia wa NASA sio kwamba hawana evidence. Ujinga wako unaotaka tuuwamini humu ndo na IEBC wanataka tuwaamini.You guys and IEBC are like pigs. You want us to join in that mad in which your playing. Fool!! Thank you NASA for being smart. Sometimes silence is better than talking.

BREAKING NEWS: IEBC Commissioner Roselyn Akombe arrested at the JKIA before leaving the Country BREAKING NEWS: IEBC Commissioner Roselyn Akombe arrested at the JKIA before leaving the Country - The Kenyan Digest … via @Kenyan_Digest

IEBC Commissioner Roseline Akombe was last night removed from the plane while heading to the U.S., she was held in custody over the night. Jubilee uncomfortable with her travel perhaps fearing she might spill the bean on the rigging that happened at Bomas.
View attachment 567677


Mm sina ubishi kile nasema, chochote kile NASA wanacho kama stakabadhi wapeleke kotini. Pointi yangu ni kwamba apeleke kesi yake kotini....yaani afuatilie utaratibu wa sheria...kama anataka kushtaki IEBC ama UK haijalishi, muhimu ni aende kotini...anyway wameamuwa wataenda kotini kulingana na taarifa ya leo & hivi ndio nlikuwa natarajia wafanye.
 
Sipo katika biashara ya ku-convince yeyote, humu tunajadili na kila mtu yupo radhi kutoa maoni au kuamini anachokitaka.
Cha msingi facts ndio muhimu, Msando kusema kwenye runinga kwamba yeye ndiye mwenye password pekee yake nchi nzima hilo sikuliamini maana si yeye aliyetengeneza huo mfumo. Am a software engineer by profession, hamna jinsi user mmoja ambaye sio developer atakua na password ya mfumo wa kihivyo ambao upo sensitive nchi nzima. Huo mfumo umetengenezwa na Wafaransa (kama sijakosea), wao mwisho wa siku ndio walikua na dhamana ya kuhakikisha ulinzi na usalama wa mfumo.

Haiwezekani mtu mmoja aseme yeye ndiye mwenye password halafu achinjwe na siku kadhaa baadaye watu wawe wanasubiri hawajabadilisha hiyo password au access level, kwamba ipo tu hapo hewani ili itumike. Halafu mifumo haidukuliwi kwa kutumia passwords, the moment umetumia password kuingia basi huo sio udukuzi, ni kama mtu amekupa ufunguo uingie, udukuzi ni pale mtu ametumia mbinu na jinsi za kuingia kwenye mfumo wako bila access au password rasmi.

Ninashuku aliyemchinja Msando (may he RIP) alikusudia kutibua mjadala fulani ili kila mmoja aone kwamba mfumo umedukuliwa, siasa na wanasiasa wana undugu na shetwan, pande zote mbili wana uwezo wa kufanya chochote hata kutoa kafara wanao waliowazaa.

Wanaosema mfumo ulidukuliwa wameonyesha kile waliita ushahidi na wataalam tukiangalia hizo logs ni za server za zamani jameni 2008, halafu teknolojia tofauti kabisa ya Microsoft ilhali IEBC wanatumia teknolojia za Oracle.

Ninashangaa sana kila mtu amejitoa ufahamu na kusema sema eti password ya Msando ilitumika, hata wataalam ambao wanafaa kutoa taarifa za kueleweka kwa jamii.

ni sawa kabisa kusema walifanya election rigging kwa kutumia funguo ya Musando. Maana system administrator ana uwezo wa kujua nani kafanya nini lini. Wanyetishaji wanasema kuwa waliona Musando alilog in the system na kufanya alterations kwenye account yake baada ya kufa.
Hivyo uwizi uliofanyika kwa kutumia ufunguo wa Musando.
 
ni sawa kabisa kusema walifanya election rigging kwa kutumia funguo ya Musando. Maana system administrator ana uwezo wa kujua nani kafanya nini lini. Wanyetishaji wanasema kuwa waliona Musando alilog in the system na kufanya alterations kwenye account yake baada ya kufa.
Hivyo uwizi uliofanyika kwa kutumia ufunguo wa Musando.

Logs walizotumia kuonyesha Musando kaingia ni za MS SQL 2008, mfumo wa zamani huo, umepitwa na wakati miaka 10 iliyopita, ni aibu kusema kwa maabilioni yote waliotumia IEBC ili kuboresha mfumo iwe bado waatumia server za kizamani hivyo.
IEBC wanatumia Oracle.
 
Ukawa ni vichekesho kweli!

Kenya baada ya kupiga kura ilitakiwa kukaa Mita Mia nne
Sie Tz ilikuwa Mita Mia mbili

Kwa Tz walipinga kuwa sio Demokrasia kulazimisha Watu kukaa Mita miambili lakin Leo wanasifia Kenya kuweka utaratibu wa Mita Mia nne!
 
Logs walizotumia kuonyesha Musando kaingia ni za MS SQL 2008, mfumo wa zamani huo, umepitwa na wakati miaka 10 iliyopita, ni aibu kusema kwa maabilioni yote waliotumia IEBC ili kuboresha mfumo iwe bado waatumia server za kizamani hivyo.
IEBC wanatumia Oracle.

Nadhani tuviachie vyombo husika kuthibitisha hayo, kwa maana kuna wengine wanasema Musando back 2008 hakuwa senior officer enough to be given the sensitive security codes of the electral commission computer system.
 
Nairobi, Kenya

Published on 17 Aug 2017

Coalition has until tomorrow to do so, NASA lawyers still drafting petition papers, Odinga says move would prove poll was rigged
The National Super Alliance (Nasa) has until midnight tomorrow (August 18) to file a petition at the Supreme Court challenging President Uhuru Kenyatta’s re-election.

Nasa lawyers failed to file the case as anticipated today amid reports of frantic efforts to assemble evidence to support claims of widespread electoral fraud in Tuesday’s election.

The Supreme Court has introduced changes to fast-track the petition.



Source: CitizenTV Kenya
 
17 Aug 2017
Nairobi, Kenya

Kenya's best lawyers on how NASA can win at the Supreme Court - Sidebar
Larry Madowo hosts a panel of lawyers on Sidebar: Miguna Miguna, Charles Kanjama, Danstan Omari and former IEBC vice chair Lillian Mahiri-Zaja

Source: Kenya NTV
 
Kwani huyu mbunge James Mbatia wa Tz ana la ukoo wa waKikuyu ? Amezaliwa wapi na anatoka jamii gani sababu waKikuyu wako na watu wanaitwa Mbatia wengi sana.

Kabila sio lugha pekee yake .Kunayo vyakula ,mila na tamaduni na vinginevyo ikiwemo utamaduni na mavazi wa waMaasai ambayo umenufaisha nyinyi wote kwa utalii.Sasa tuache ukabila wa manufaa pia?
Ni mchaga uyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom