pastoryjoshua123
New Member
- Jun 20, 2019
- 2
- 0
Huyu waziri wa mambo ya ndani mh. Kangi Lugola safari hii polisi na raia walitegemea mambo makubwa sana kutoka kwake matokeo yake yeye kila siku anadili na polisi tuuu mara kwenda vituo vya polisi eti ninja oohh sijui nini hakuna alichowasaidia hawa polisi wetu zaidi ya kuwavunja moyo tu askari, huwa najiuliza wakati akiwa askari haya mambo alikua hayaoni?
Ana kazi ya kuwanyanyasa askari wadogo tu, watu walishatoka huko jeshi lilianza kuwa na muelekeo mzuri askari wanafanya kazi kwa kujiaminmi na kujituma ni kutokana na Raii wetu pamoja na mkuu wao wa polisi, Rais wetu sio kwamba hayaoni hayo anamuangalia tu mambo anayoyafanya hakuna anachokifanya cha maana hata kidogo nasema hata kidogo ni wa kuondoka kabisa.
Kwanza ngoja niwaambie huyu waziri alishawahi kushirikiana na mwizi mmoja mvunjaji aliwahi kuvunja hotel ya Pallson Arusha anajulikana kwa jina la mama Ngolo au Joyce Nyagheti ni wa Musoma huyu mama, alichokifanya huyu waziri ni kumpeleka kwa RCO na RPC wa wakati huo na kumtaka apewe dhamana siku hiyo hiyo ilikua ni ziara yake ya kwanza mkoani Arusha na huyo mama ni mwizi wa kwenye maguest anaiba kwa kutumia funguo aliiba madini pamoja na pesa za kigeni lakini yule mama aliachiwa kwa amri ya mh na alipopelekwa mahakamani napo alipewa zamana kwa amri yake na alikabidhiwa vitu vyake gari aina ya premio namba nazihifadhi ambayo ilikua ni kielelezo anaishi musoma na ni diwani wa ccm huyo mwizi..hivyo huyu jamaa ana kazi ya kuwabagaza askari wetu wa tanzania na huko walishatoka walianza kufanya kazi kwa kujmiamini lakini sasa hivi anawavunja moyo.