Wadau nipo sehem hapa
naona TBCCM1 ikiendesha mada hii na wasemaji ni Prof......., Mringo na
Kawambwa ( Mb) wazir mfuu.
MADA
Mfumo wa Elimu Nchin Tanzania
namuona waziri ameconcetrate kwenye jamii forum na ile ipad yake.
hahaha kweli kazi
Waziri wa elimu anazungumza kwa heshima na adabu yote kama yeye ni mtumishi wa mungu.
Kama anataka kutoa mwarobaini wa kufeli,aseme wazi walimu wote lazima wawe na div 1 na 2.
Mjinga akimfundisha mjinga werevu hukimbia mbali na akili zao.
Si humu ndiye aliyepita wanafunzi magoti huko kashikilia picha ya Kikwete!!!!!!!
Wadau nipo sehem hapa naona TBCCM1 ikiendesha mada hii na wasemaji ni Prof......., Mringo na Kawambwa ( Mb) wazir wa elimu.