MH KAWAMBWA live on TBC mada kuu Elimu/Matokeo

MH KAWAMBWA live on TBC mada kuu Elimu/Matokeo

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,339
Wadau nipo sehem hapa naona TBCCM1 ikiendesha mada hii na wasemaji ni Prof. Enstella Bhalalusesa (kamishna wa elimu Tanzania), Mahamoud Mringo (Mwenyekiti wa wamiliki wa shule binafsi) na Dr. Kawambwa ( Mb) wazir wa elimu.

MADA
Mfumo wa Elimu Nchin Tanzania

wadau nafungua Tv hapa namwona kawambwa. Ngoja tumsikilize anajiteteaje kwa matokeo ya form 4.

Sera, mfumo na vyombo vya elimu nchin ni vizuri sanaaa kwani vinaendana na viwango walivyo jiwekea... by Shukuru Kawambwa.

Wadau nipo sehem hapa
naona TBCCM1 ikiendesha mada hii na wasemaji ni Prof......., Mringo na
Kawambwa ( Mb) wazir mfuu.

MADA
Mfumo wa Elimu Nchin Tanzania

namuona waziri ameconcetrate kwenye jamii forum na ile ipad yake.

hahaha kweli kazi

Waziri wa elimu anazungumza kwa heshima na adabu yote kama yeye ni mtumishi wa mungu.

Kama anataka kutoa mwarobaini wa kufeli,aseme wazi walimu wote lazima wawe na div 1 na 2.

Mjinga akimfundisha mjinga werevu hukimbia mbali na akili zao.

Huyu Mahmoud Mringo ana akili sana, anatoa mwarobaini wa tatizo la Walimu wa Sayansi nchini.

Si humu ndiye aliyepigia wanafunzi magoti huko kashikilia picha ya Kikwete!!!!!!!

Kweli siyo kila mwenye Phd anaweza kuitetea! Huyu hawezi jamani. Pengine angeendelea na kazi yake UDSM. If at all alikuwa anaeleweka!

Wadau nipo sehem hapa naona TBCCM1 ikiendesha mada hii na wasemaji ni Prof......., Mringo na Kawambwa ( Mb) wazir wa elimu.

MADA
Mfumo wa Elimu Nchin Tanzania

Kawambwa: Matokeo ni mabaya kwa sababu shule za serikali ni nyingi.

hahaha kweli kazi

Waziri wa elimu anazungumza kwa heshima na adabu yote kama yeye ni mtumishi wa mungu.

Kama anataka kutoa mwarobaini wa kufeli,aseme wazi walimu wote lazima wawe na div 1 na 2.

Mjinga akimfundisha mjinga werevu hukimbia mbali na akili zao.

wanatafuta pa kutokea, wengine tumefundishwa na hao hao walimu waliopo na tukafaulu

Eti tulilijua tatizo na tutaimprove! What a shame! Alafu anasema kuna faraja maana kuna masomo wamefaulu zaidi. mf 37% ya waliofanya physics wamefaulu ikilinganishwa na civics na history. Sijui kama anajielewa! Yaani anajikanyaga as if hajui anaongea nini!

wastani wa ufaulu ulishushwa.na bado number ya waliofeli ni kubwa zaidi.

Kuna kamsemo kapya kakatoa,kumbe kuna
1.shule za binafsi
2.shule za serikali
3.shule za wananchi(kata).
4.shule za seminari

Huyu Mahmoud Mringo ana akili sana, anatoa mwarobaini wa tatizo la Walimu wa Sayansi nchini.

Nimempenda sana jamaa yupo mkweli sana even if ni kada wa chama tawala wazira ana mbulula tu....

Kawambwa afafanua mfumo wa elimu na matokeo ya form 4

Back
Top Bottom