MH KAWAMBWA live on TBC mada kuu Elimu/Matokeo

Wanajitengenezea jeshi la wasio na kazi kwa urahisi zaidi ili kuharakisha mapinduzi.

Nchi hii ilikuwa inaelekea kubaya, lakini naona kama wanaona ilikuwa inaelekea kubaya polepole sasa wanataka kuiharakisha.

Kila mwaka tukiwa tunatengeneza wahitimu robo milioni wasio na prospects, katika miaka minne ni watu milioni moja hao.

Katika miaka kumi unaongelea watu milioni mbili na nusu, na hapo ni kama hakuna ongezeko la watu, kitu ambacho hakiwezekani kwa mwendo wa sasa.

Hawa watu wote watafanya nini?
 
Kawambwa: Matokeo ni mabaya kwa sababu shule za serikali ni nyingi.

Blood fool....! Majibu mepesi kwa maswali magumu. Huwa naishangaa sana mipango ya watawala, kuongeza shule nyingi kuna maana gani kama huna vifaa, waalimu, maslahi duni ya waalim na miundombinu isiyofaa? Kwanini usiboreshe shule zilizopo kwanza ndipo uongeze nyingine? Wanasiasa wanajivunia namba ya wanafunzi wanaokuwa enrolled shuleni badala ya kujivunia product inayotoka! Elimu ya Tz ni mtambo wa kuzalishia taifa la wapumbavu.
 
wastani wa ufaulu ulishushwa.na bado number ya waliofeli ni kubwa zaidi.

Kuna kamsemo kapya kakatoa,kumbe kuna
1.shule za binafsi
2.shule za serikali
3.shule za wananchi(kata).
umesahau na shule za seminary
 
kipindi hiki ni kipindi cha mpito na pia kinauma ila kitapitavtu-kawambwa
 
wastani wa ufaulu ulishushwa.na bado number ya waliofeli ni kubwa zaidi.

Kuna kamsemo kapya kakatoa,kumbe kuna
1.shule za binafsi
2.shule za serikali
3.shule za wananchi(kata).
duu ubaguzi huu ktk elimu wa wazi kabisa
 
Daktari Kawambwa bana! Anaonekana amelipia hiyo airtime as part of propaganda to calm things down!
 
Mh!! hii hali inaumiza sana sijui hawa watawala wanionaje au wanaichukulia vipi?
Kwanza kabisa I think kawambwa should go back to bagamoyo akawe diwani aachie wengine wakae watatue tatizo, uwezo wake ni mdogo na hasa katika kuona njia za kutatua matatizo vinginevo anasaidia kututengenezea bomu ambalo hakuna atakaeweza kulizuia kulipuka miaka ijayo.
 
Huyo Kawambwa ni janga kwa Taifa letu!

Sitaki hata nimsikie!
 

.
Hizi ni dalili za taifa lililokwisha angamia. Badala ya kufanya kazi kimatendo linabakia kupiga domo tu kutafuta huruma.
.
 

#true fact mkuu
 
wastani wa ufaulu ulishushwa.na bado number ya waliofeli ni kubwa zaidi.

Kuna kamsemo kapya kakatoa,kumbe kuna
1.shule za binafsi
2.shule za serikali
3.shule za wananchi(kata).
4.shule za seminari

hii 3 hii!!
 
wastani wa ufaulu ulishushwa.na bado number ya waliofeli ni kubwa zaidi.

Kuna kamsemo kapya kakatoa,kumbe kuna
1.shule za binafsi
2.shule za serikali
3.shule za wananchi(kata).
4.shule za seminari

Hahahaaaa shule za kata zimekuwa za wananchi sasa, maana huwa wanajidai nazo kuwa wamejenga wao CCM!
 
Huenda tatizo ni mitaala. Bunge letu butu lilizima hoja ya Mh.Mbatia ambayo huenda ingepelekea kuibua tatizo hata kabla ya kutangazwa haya matokeo. Natoa wito kuwa hoja ile irudishwe bungeni na kujadiliwa kwani ni kweli elimu yetu imekumbwa na jinamizi kwa muda mrefu!!
 

Wewe mpuuzi sana,siyo wote wenye division one au two wanaweza kuwa walimu wazuri.Acha upuuzi dogo.
 
Tutaumiza vichwa bure kwa kutafuta mwarobaini wa kilichotokea, the only solution is to pay teachers well and to revisit our curriculum basi. A curriculum is a broad term...........................
 
Tutaumiza vichwa vyetu bure kujaribu kutafuta mwarobaini wa tatizo hili lakini 70% ya kulisolve is to pay teachers well and to revisit our curriculum,we have to remember that curriculum is a broad term...............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…