Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wanajitengenezea jeshi la wasio na kazi kwa urahisi zaidi ili kuharakisha mapinduzi.
Nchi hii ilikuwa inaelekea kubaya, lakini naona kama wanaona ilikuwa inaelekea kubaya polepole sasa wanataka kuiharakisha.
Kila mwaka tukiwa tunatengeneza wahitimu robo milioni wasio na prospects, katika miaka minne ni watu milioni moja hao.
Katika miaka kumi unaongelea watu milioni mbili na nusu, na hapo ni kama hakuna ongezeko la watu, kitu ambacho hakiwezekani kwa mwendo wa sasa.
Hawa watu wote watafanya nini?