Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka wetu sisi tuliosoma shule serikali hiyo hiyo wanafunzi walikuwa zaidi ya mia nne zero zilikuwa 26 tu wani 78 tatu za kumwaga usiulize mbili. Ukiangalia shule hiyo hiyo sasa hivi ni kichefuchefu, This Guy is RUBBISH he is no Phd kabisaKawambwa: Matokeo ni mabaya kwa sababu shule za serikali ni nyingi.
vipi paper haikuvuja?Mwaka wetu sisi tuliosoma shule serikali hiyo hiyo wanafunzi walikuwa zaidi ya mia nne zero zilikuwa 26 tu wani 78 tatu za kumwaga usiulize mbili. Ukiangalia shule hiyo hiyo sasa hivi ni kichefuchefu, This Guy is RUBBISH he is no Phd kabisa
Wadau nipo sehem hapa naona TBCCM1 ikiendesha mada hii na wasemaji ni Prof. Enstella Bhalalusesa (kamishna wa elimu Tanzania), Mahamoud Mringo (Mwenyekiti wa wamiliki wa shule binafsi) na Dr. Kawambwa ( Mb) wazir wa elimu.
MADA
Mfumo wa Elimu Nchin Tanzania
Wadau nipo sehem hapa naona TBCCM1 ikiendesha mada hii na wasemaji ni Prof. Enstella Bhalalusesa (kamishna wa elimu Tanzania), Mahamoud Mringo (Mwenyekiti wa wamiliki wa shule binafsi) na Dr. Kawambwa ( Mb) wazir wa elimu.
MADA
Mfumo wa Elimu Nchin Tanzania
Kamishna wa elimu Prof Bhalalusesa alihitimisha kwa kuomba wadau tuchangie kwenye elimu, ni vema tufanye hivyo kuliko kulaumiana
Huyu Kawambwa sijui anataka kutuwamba utando wa ujinga vile!Eti tulilijua tatizo na tutaimprove! What a shame! Alafu anasema kuna faraja maana kuna masomo wamefaulu zaidi. mf 37% ya waliofanya physics wamefaulu ikilinganishwa na civics na history. Sijui kama anajielewa! Yaani anajikanyaga as if hajui anaongea nini!
Huenda tatizo ni mitaala. Bunge letu butu lilizima hoja ya Mh.Mbatia ambayo huenda ingepelekea kuibua tatizo hata kabla ya kutangazwa haya matokeo. Natoa wito kuwa hoja ile irudishwe bungeni na kujadiliwa kwani ni kweli elimu yetu imekumbwa na jinamizi kwa muda mrefu!!