pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,863
- 2,757
Ndio sote tunataka Ushindi mengine tupa kule, Mlipewa miaka mingi kuendesha mgodi lakini hiyo dhahabu hatukuwahi iona!Migodi yetu imekwisha madini sababu km hizi Sisi ndio wenye Mali lakini wanakuja watu kuchimba kila siku wanasema wanapata hasara. Wao wanachukua nyingi Sisi tunaambulia kodi kiduchu tukihoji tunaambiwa wataondoka Bora hata hicho kidogo. Sasa hv tumebaki na mahandaki Kwenye baadhi ya migodi.
Yaani ni km kwa simba tu watu wanafaidi tunafurahi timu kushinda.
Siyo kipindi kipi yeye ni mwanahisa na ana hisa 49% ambazo ni hizo 20b.Km michakato imekamilika ya Simba kuwa kampuni ni nin anashindwa kutoa hizo hela.Hisa za simba tayari ziko mezani why yeye analeta janja.Du ila ukitaka kuwaudhi Mashabiki wa Simba wakumbushie habari ya MO kutoa bilioni 20. Yaani watakupa majina yote mabaya. Tukirudi kwenye mada, MO aliahidi kutoa bilioni 20 kwenye kipindi kipi cha uendeshaji wa timu? Labda hapo tutapata majawabu!
very low,ubongo bite 1.akili za bora liende.unawakilisha kundi kubwa sana.muda utasema,hamna haja ya kuongea,sana acha niweke akiba ya maneno.Ambacho ni kweli ni kuwa wa Tz wengi dont research au look for facts kutoka credible sources bali kama wewe, mnadandia issue na kugeuza upupu wenu kuwa facts.
Kwani mchakato umekamilika ?
Kila siku mnaambiwa kuna vitu bado. Je unajua transformation team imeundwa na watu wa serikali pia, idara husika pia.
Huyo HK kilaza mwenzio anajua yote haya, lkn njaa zake tu ndo kutafuta kiki... !
Kusema sijui ana watu wake, au huyo CEO ambaye TOR alizopewa hakutekeleza lkn eti anataka kila team ikipewa bonus na yeye apewe...ulofa huo nani atakubali !!
Tuacheni na team yetu, tupo makini sana !!
Kwa kifupi sana ,niende kwa mada, Mimi namkubali Mh. Kigwa na kwa hili la Mo na Simba SC na bilioni zetu 20, kuna mambo ambayo ukimsikiza Mo ktk interview zake utagundua kwamba hapendi kuhojiwa kuhusu mzigo wake wa uwekezaji pale simba wa sh.bilioni 20.
Pili, utagundua tayari pale Simba ,Mo ana watu wake tayari aliowatengeneza ili wamsapoti katika kupiga danadana kulipa hizi hela.
Pia uteuzi wa huyu mwanadada, sina shaka na CV yake lakini inaonekana Mo kamweka pale kimkakati sana, kwa maslahi yake binafsi.NA INAONEKANA PIA SENZO ALIONDOKA PALE SIMBA SC KWA MAZINGIRA YALIYOTENGENEZWA ILI MO AWEKE MTU WAKE AMBAYE LAO NI MOJA.Kumbuka huyu mdada alikua msaidizi binafsi wa Mo.
Tunahitaji misingi,taratibu na sheria za uwekezaji wake pale Simba SC zizingatiwe.hatuhitaji hisani ya mtu.Hizo hela anatumia kulipa mishahara na gharama nyingine ziko ktk makubaliano gani.
AU ANATENGENEZA DENI ILI BAADAE ASEME ANAIDAI SIMBA.Hakuna mtu mwenye akili na anawaza vizuri atakubali kwamba kwasababu simba inaenda vizuri basi Mo aachwe tu.
Tusiwe watu wa akili nyepesi kwa mambo complex km haya. ILA SIJUI KWANINI WATZ WENGI TUMEKUWA WATU WA BORA LIENDE. Mambo ni mengi niishie hapa.
Msijifanye mnajua wakati hamuelewi kitu, acheni kuropoka tu ka manyani.Kwa kifupi sana ,niende kwa mada, Mimi namkubali Mh. Kigwa na kwa hili la Mo na Simba SC na bilioni zetu 20, kuna mambo ambayo ukimsikiza Mo ktk interview zake utagundua kwamba hapendi kuhojiwa kuhusu mzigo wake wa uwekezaji pale simba wa sh.bilioni 20.
Pili, utagundua tayari pale Simba ,Mo ana watu wake tayari aliowatengeneza ili wamsapoti katika kupiga danadana kulipa hizi hela.
Pia uteuzi wa huyu mwanadada, sina shaka na CV yake lakini inaonekana Mo kamweka pale kimkakati sana, kwa maslahi yake binafsi.NA INAONEKANA PIA SENZO ALIONDOKA PALE SIMBA SC KWA MAZINGIRA YALIYOTENGENEZWA ILI MO AWEKE MTU WAKE AMBAYE LAO NI MOJA.Kumbuka huyu mdada alikua msaidizi binafsi wa Mo.
Tunahitaji misingi,taratibu na sheria za uwekezaji wake pale Simba SC zizingatiwe.hatuhitaji hisani ya mtu.Hizo hela anatumia kulipa mishahara na gharama nyingine ziko ktk makubaliano gani.
AU ANATENGENEZA DENI ILI BAADAE ASEME ANAIDAI SIMBA.Hakuna mtu mwenye akili na anawaza vizuri atakubali kwamba kwasababu simba inaenda vizuri basi Mo aachwe tu.
Tusiwe watu wa akili nyepesi kwa mambo complex km haya. ILA SIJUI KWANINI WATZ WENGI TUMEKUWA WATU WA BORA LIENDE. Mambo ni mengi niishie hapa.
Umenisaidia kusema kilichojaza moyo wangu mkuu.Hivi mnavyo wakejeri wawekezaji wa mpira kwa kiasi hiki mnataka mpira wetu uendeshweje ?
Hamwoni kuwa mnawakatisha tamaa wenye nia ya kuwekeza katika mpira wa Tanzania ?
Hata kama mwekezaji anakosea basi aulizwe kwa staha.
Kuuliza kwa kejeri, dharau, vijembe, na hata matusi ndivyo mnavyotaka ?
Mbona wawekezaji wa maeneo mengine hamuwa ulizi kwa mtindo huu.
MO katika mpango wa kuwekeza Simba amefuata taratibu zote na akapewa baraka na Serikali.
Hizi chuki zinatoka wapi ?
Kwanza MO hata akiweka hapo hiyo B20 bado inakuwa pesa yake tu.
Na anaweza kuiondoa kama hataridhishwa na uendeshwaji wa timu au vinginevyo, au akamwuzia mtu mwingine.
Mnataka kila mtu akiwa na dukuduku mda wowote kuhusu Simba basi amuulize MO popote na MO lazima awajibu wote wanaouliza kwenye Instagramu, Facebook, twitter, na popote pengine.
Viongozi wa Simba wapo, vikao vipo nashangaa huko hamwendi mnataka mjibiwe kwenye mitandao.
Wana michezo wanajua jinsi timu za ulaya kama Manchester United na City, na Chelsea, zinavyoendeshwa na wawekezaji tena watu binafsi.
Jifunzeni kuheshimu wawekezaji, hata kama mtu mmoja au kikundi hakitaki.
MO toka aingie Simba maelfu ya Watanzania wamepata Ajira. Na wanaendelea kuajiriwa kadri Simba inavyo kua.
Kila siku mnalialia humu kuwa nchi haina ajira hasa kwa vijana.
MO kaongeza fulsa ya ajira mnaishia kumtukana, au kumshangila anayemtukana wakati mamia ya watoto wenu wameajiriwa naye.
Kwanini hamwezi kumwelekeza kwa staha pale anapo kosea.
Afrika inakuwa nyuma ktk maendeleo kwa mambo kama haya.
Inavyo itwa Dark- Continent, Shit-Hole. Vinaangaliwa vitu kama hivi.
Poleni sana.
Mbumbumbu hao. Bora liende.Kwa kifupi sana ,niende kwa mada, Mimi namkubali Mh. Kigwa na kwa hili la Mo na Simba SC na bilioni zetu 20, kuna mambo ambayo ukimsikiza Mo ktk interview zake utagundua kwamba hapendi kuhojiwa kuhusu mzigo wake wa uwekezaji pale simba wa sh.bilioni 20.
Pili, utagundua tayari pale Simba ,Mo ana watu wake tayari aliowatengeneza ili wamsapoti katika kupiga danadana kulipa hizi hela.
Pia uteuzi wa huyu mwanadada, sina shaka na CV yake lakini inaonekana Mo kamweka pale kimkakati sana, kwa maslahi yake binafsi.NA INAONEKANA PIA SENZO ALIONDOKA PALE SIMBA SC KWA MAZINGIRA YALIYOTENGENEZWA ILI MO AWEKE MTU WAKE AMBAYE LAO NI MOJA.Kumbuka huyu mdada alikua msaidizi binafsi wa Mo.
Tunahitaji misingi,taratibu na sheria za uwekezaji wake pale Simba SC zizingatiwe.hatuhitaji hisani ya mtu.Hizo hela anatumia kulipa mishahara na gharama nyingine ziko ktk makubaliano gani.
AU ANATENGENEZA DENI ILI BAADAE ASEME ANAIDAI SIMBA.Hakuna mtu mwenye akili na anawaza vizuri atakubali kwamba kwasababu simba inaenda vizuri basi Mo aachwe tu.
Tusiwe watu wa akili nyepesi kwa mambo complex km haya. ILA SIJUI KWANINI WATZ WENGI TUMEKUWA WATU WA BORA LIENDE. Mambo ni mengi niishie hapa.
Humu ni kwakuwa tu hatuonani, kama tungekuwa tunaonana, basi jua kuna watuUmenisaidia kusema kilichojaza moyo wangu mkuu.
Siyo kipindi kipi yeye ni mwanahisa na ana hisa 49% ambazo ni hizo 20b.Km michakato imekamilika ya Simba kuwa kampuni ni nin anashindwa kutoa hizo hela.Hisa za simba tayari ziko mezani why yeye analeta janja.
Wenye akili tunakuelewa sana..
Kuna mtu Yanga alijiita Abromovic akasema Manji aondoke Yanga yeye yupo na wafadhili kibao wanaweza kusajili na kuendesha timu. Mungu si Athumani mara paap Manji akaondoka Yanga kilichotokea huyo Abromovic wa kuchonga hakuonekana wala hao wafadhili wake kilichofuata ni bakuli kwa kwenda mbele. Yanga ikarudi nyuma kilomita 100 mpaka wachezaji wakakosa mishahara mpaka GSM kaja kaokoa jahazi hivi karibuni
MO naye kazidi upole sana angeondoka kimya kimya amwachie huyo mheshimiwa timu aiendeshe timu ya wanawake, timu ya Vijana na timu ya wakubwa pamoja na ofisi ya Simba walau wiki moja tu halafu aje tena "tweeter" atupe mrejesho. Kwa kuwa huyo mheshimiwa ameonyesha ana uchungu sana na Simba na anasema ana pesa kwa kuwa kauza mpunga wake naiomba bodi ya Simba mwisho mwa mwezi huu impelekee barua ya kumuomba asaidie walau kulipa mishahara ya mwezi wa septemba ya wachezaji wawili tu Kagere na Chama. Na barua hiyo iwekwe wazi kwenye mitandao yote na vyombo vyote vya habari na iwapo atafanikiwa kulipa hiyo mishahara basi taarifa ziwekwe wazi kwenye vyombo vyote vya habari na mitandaoni.